Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Hii ya mwaka huu mbona inatabirika kabisa mamii, wee si unaliona lile kosi la bilioni kama tatu hivi utafananisha na Chura FC!!!?Kudhalilika kiaje?
Labda nikwambie game za Simba na Yanga huwa hazitabiriki kirahisi namna hiyo eti kwamba mtafunga tano. π³π³
Labda toka TPL msimu wa 2019 / 2020 ianze nani umemfunga hizo bao 5?
Za chini ya carpet huko mkiani mpaka leo mshahara wa august na sept wanausikia kwenye redio tuIla wakiitwa wapiga ramli Mtani mnaongoza. πππ
Sijaipata hii Swahiba. Kulikoni tena?Za chini ya carpet huko mkiani mpaka leo mshahara wa august na sept wanausikia kwenye redio tu
Ya ndani ndani hiyo,ila wenyewe wanafanya siri,lkn wachezaji wanaambiana,yule jamaa yao bahili sanaSijaipata hii Swahiba. Kulikoni tena?
Au ndio bundi anaanza kupiga hodi.
Nakukanya mamii acha kusikiliza majungu eehπSijaipata hii Swahiba. Kulikoni tena?
Au ndio bundi anaanza kupiga hodi.
Hahaha kweli dada wanawatafutia GSM matatizo kwa bashite[emoji23][emoji23][emoji23]
Anajua Yanga ni kimeo, hawawezi kushinda kila mechiIla naona parefu sana kwa kushinda game10 ni 100 mil!!!sasa GSM watapata faida kweli?
Kama sivyo njaa zitawamaliza wachezajiIkibidi Mtani. Japo sidhani kama inatolewa kwa matumizi hayo.
Tusipo wapa hadharani hamchelewi kusema zile mil.10 viongozi wamekula.Tena ninyi simba ndo mtakuwa wa kwanza kuleta maneno.Sasa waziii hata wewe huna neno tena maana captain alishazibebaYani Yanga mmetia aibu hela za posho mnawagawia wachezaji ka vibarua.
Badilikeni basi endesheni Ki professional.
Ilo ni ndo tatizo la kuwapa wanasiasa timu.
Eti kugawa posho kwa wachezaji hadi press conference.
Wachezaji gani Wa Yanga?Hao sio wachezaji wetu.Tushaachana nao.kuna wachezaji wameifikisha yanga kwenye TFF wakidai mishahara na pesa zao za usajili sijui hiyo milioni kumi italeta motisha gani huku wachezaji bado wanadai stahiki zao
Labda abebwe na marefaKwa hiyo Yanga haiwezi kufikisha ushindi wa game 10 wachezaji wakapata 100m?
Utakuwa mkia wewe si bure[emoji2][emoji2][emoji2]
Unaijua MANJESTA UNANITESA?Rangi nyekunde imedhihirisha uhatari wake kabisa. sio majuu sio hapa home.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaijua MANJESTA UNANITESA?