GSM kuweni na utu, msimfanye Haji Manara kama Msukule

Yani kila siku we ni kuanzisha uzi kuongelea yanga hivi huna jambo lingine lakuongelea kwenye mpira wa Tanzania?

Unaweza ukaiongelea hata mbeya kwanza au vifundo fc au hata ukaongelea mechi ya Jana ya coastal vs simba ya kirafiki ..... Kungelea Yanga kila saa kunaonesha jinsi gani ulivo na hofu na uwoga juu ya Yanga.
uko nje ya mada halafu huna uwezo wa kunipangia chochote
 
Ghalib hamtendei haki swahiba wake wa kitambo kumpa kazi ya kuisemea Yanga kwa sasa taasisi ambayo amekuwa akiinenea mabaya kwa sehemu kubwa ya maisha yake. Kwa kumsaidia tu angempa majukumu mengine tu kwenye biashara zake nyingine bila kuihusisha Yanga. Anampa wakati mgumu sana kujivua usimba wake mbele ya Yanga na wana Yanga wenye akili timamu matokeo yake sasa amefikia hatua ya kujitoa ufahamu jumla ili mradi akubalike,ameshafikia hatua za awali za kuchanganyikiwa akili.
umeandika kiroho safi
 
kwann simba ndio wanateseka sana na mishe za manara baada ya kuondoka simba? Tafadhari simba plus mwamed mkiachwa mjifunze kuachika japo hua inachukua muda kidogo kuzoea
Mbona alipokuwa kwao Simba walikuwa kimya yanga ikishambuliwa Leo hii ndio wanamwona amerukwa na akili hata sisi tulikuwa tunaumia hivyo hivyo kaeni kwa kutulia msitufundishe uoga na kazi.Pambaneni na Hali zenu.
 
kwann simba ndio wanateseka sana na mishe za manara baada ya kuondoka simba? Tafadhari simba plus mwamed mkiachwa mjifunze kuachika japo hua inachukua muda kidogo kuzoea
Manara ndio aliachwa na Simba, kwani hukusikia anavyolia juu ya Babra?
 
View attachment 1930225
View attachment 1930248
View attachment 1930250
View attachment 1930262
Ndio kuna biashara,ndio kuna pesa. Lakini kumbukeni kuna utu na heshima mbele za watu.Zaidi ya yote kuna Akhera.

GSM mnajua kabisa huyu mtu hayupo timamu ana msongo mkubwa wa mawazo baada ya kufukuzwa Simba Sc. Tunatambua nyinyi mlikuwa marafiki zake wakubwa hata kipindi akiwa Simba. Sasa urafiki gani huu usiojali utu na ubinaadamu.

Mnamtumia huyu ndugu kama msukule bila kujali utu wake mbele ya jamii?

Haya yanayoendelea yanaweza kumletea madhara makubwa zaidi kisaikolojia zaidi ya mvuta bangi. Msaidieni kiungwana,mbona kuna wapenzi wa Simba kama Ommy Dimpoz tunaona anatangaza bidhaa zenu bila kujihusisha na mambo ya Yanga? Tunzeni utu wa huyu ndugu anaoza ndani kwa ndani
Manara kwa sasa ana amani ya roho na ndio ameanza kusema ukweli wote. Simba ilivyokuwa inapambwa utafikiri hata Madrid haingii kwa Simba, kumbe ni kitimu ambacho hakiwezi kuvuka robo fainali za Africa.
 
Ghalib hamtendei haki swahiba wake wa kitambo kumpa kazi ya kuisemea Yanga kwa sasa taasisi ambayo amekuwa akiinenea mabaya kwa sehemu kubwa ya maisha yake. Kwa kumsaidia tu angempa majukumu mengine tu kwenye biashara zake nyingine bila kuihusisha Yanga. Anampa wakati mgumu sana kujivua usimba wake mbele ya Yanga na wana Yanga wenye akili timamu matokeo yake sasa amefikia hatua ya kujitoa ufahamu jumla ili mradi akubalike,ameshafikia hatua za awali za kuchanganyikiwa akili.

Ni kama GSM wameamua kumpa adhabu kali ya kumtesa kisaikolojia wakati huo huo wakimpoza kwa kumlipa Mshahara.Si rahisi kuyafuta yale aliyoyaongea kuhusu Yanga akiwa Msemaji wa Simba kirahisi hivyo.
 
kwann simba ndio wanateseka sana na mishe za manara baada ya kuondoka simba? Tafadhari simba plus mwamed mkiachwa mjifunze kuachika japo hua inachukua muda kidogo kuzoea
Tunashangaa tu kua miaka 6 yote alikua amelewa
 
Hivi hamchoki kuanzisha threads za MANARA humu?Hamjui kama ndo mnazidi kumbland?
 
Yani kila siku we ni kuanzisha uzi kuongelea yanga hivi huna jambo lingine lakuongelea kwenye mpira wa Tanzania?

Unaweza ukaiongelea hata mbeya kwanza au vifundo fc au hata ukaongelea mechi ya Jana ya coastal vs simba ya kirafiki ..... Kungelea Yanga kila saa kunaonesha jinsi gani ulivo na hofu na uwoga juu ya Yanga.
Yani they fall into a trap very easily. Sasa washageuka talking about Yanga kila saa kila muda, hawahangaiki tena na ya kwao.
 
View attachment 1930225
View attachment 1930248
View attachment 1930250
View attachment 1930262
Ndio kuna biashara,ndio kuna pesa. Lakini kumbukeni kuna utu na heshima mbele za watu.Zaidi ya yote kuna Akhera.

GSM mnajua kabisa huyu mtu ana msongo mkubwa wa mawazo baada ya kufukuzwa Simba Sc. Tunatambua nyinyi mlikuwa marafiki zake wakubwa hata kipindi akiwa Simba. Sasa urafiki gani huu usiojali utu na ubinaadamu.

Mnamtumia huyu ndugu kama msukule bila kujali utu wake mbele ya jamii?

Haya yanayoendelea yanaweza kumletea madhara makubwa zaidi kisaikolojia zaidi ya mvuta bangi. Msaidieni kiungwana,mbona kuna wapenzi wa Simba kama Ommy Dimpoz tunaona anatangaza bidhaa zenu bila kujihusisha na mambo ya Yanga? Tunzeni utu wa huyu ndugu anaoza ndani kwa ndani
Finale jpili tutajua nafasi ya manara.
 
Back
Top Bottom