GSM kuweni na utu, msimfanye Haji Manara kama Msukule

uko nje ya mada halafu huna uwezo wa kunipangia chochote
 
umeandika kiroho safi
 
kwann simba ndio wanateseka sana na mishe za manara baada ya kuondoka simba? Tafadhari simba plus mwamed mkiachwa mjifunze kuachika japo hua inachukua muda kidogo kuzoea
Mbona alipokuwa kwao Simba walikuwa kimya yanga ikishambuliwa Leo hii ndio wanamwona amerukwa na akili hata sisi tulikuwa tunaumia hivyo hivyo kaeni kwa kutulia msitufundishe uoga na kazi.Pambaneni na Hali zenu.
 
kwann simba ndio wanateseka sana na mishe za manara baada ya kuondoka simba? Tafadhari simba plus mwamed mkiachwa mjifunze kuachika japo hua inachukua muda kidogo kuzoea
Manara ndio aliachwa na Simba, kwani hukusikia anavyolia juu ya Babra?
 
Manara kwa sasa ana amani ya roho na ndio ameanza kusema ukweli wote. Simba ilivyokuwa inapambwa utafikiri hata Madrid haingii kwa Simba, kumbe ni kitimu ambacho hakiwezi kuvuka robo fainali za Africa.
 
Ni kama GSM wameamua kumpa adhabu kali ya kumtesa kisaikolojia wakati huo huo wakimpoza kwa kumlipa Mshahara.Si rahisi kuyafuta yale aliyoyaongea kuhusu Yanga akiwa Msemaji wa Simba kirahisi hivyo.
 
kwann simba ndio wanateseka sana na mishe za manara baada ya kuondoka simba? Tafadhari simba plus mwamed mkiachwa mjifunze kuachika japo hua inachukua muda kidogo kuzoea
Tunashangaa tu kua miaka 6 yote alikua amelewa
 
Hivi hamchoki kuanzisha threads za MANARA humu?Hamjui kama ndo mnazidi kumbland?
 
Pole Manara, pengine in future utarudi Unyamani.
 
Yani they fall into a trap very easily. Sasa washageuka talking about Yanga kila saa kila muda, hawahangaiki tena na ya kwao.
 
Finale jpili tutajua nafasi ya manara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…