The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Kwani kuna sehemu nimesema kuna mtu kafa [emoji41]kuna aliekufa baada Mo kufanya hivyo au kuna alieitisha press kutoka klabu ya simba?
Kati ya watu wajinga na hovyoo wewe n mmoja wao, hivi GSM ndiye wakukaa na vilabu au Bodi ya ligi?. Ungekuwa na akili ungeuliza Bodi ya ligi ilikuwa wapi mpk TFF anafanya mkataba na GSM, na sio kumhoji GSM ambaye kimsingi Inawezekana aliwaambia anataka nini ili awe mdhamini mwenza.Haya Sasa zimeshaanza Kuvuja na kutufikia Watu ambao ni Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challengers and Well Informed People juu ya sababu iliyowapelekea Kujitoa katika Udhamini Mwenzae wa Ligi Kuu ya NBC.
Ukweli ni kwamba kumbe baada ya Klabu makini, yenye Watu Werevu tupu na inayoongozwa na CEO Mwanamke Barbara Gonzalez ya Simba SC Kuomba Barua rasmi ya Mkataba wenu na TFF huku Serikali kupitia FCC kuomba Kuuchunguza Mkataba wenu GSM mlikuwa mnaenda Kuumbuka na hata Kuingia Hasara na Reputation yenu Kuharibika.
Imeshajulikana kuwa Mkubwa Mmoja kutoka FCC na ambaye pia ni Mwanasheria Kitaaluma na mwana Yanga SC Mwenzenu baada ya kupitia Mkataba wenu aligundua Mapungufu makubwa ya Kisheria ambapo kama Mtego wa Simba SC kwa TFF kutaka wapewe Barua rasmi ungefanikiwa na TFF kuwapa Simba SC basi Simba SC walikuwa wameshaandaa Wanasheria wake Nguli na wangeenda hadi FIFA na CAS ambapo kama mlivyoshindwa Kesi ya Mchezaji Bernard Morrison na hii oia mmgeshindwa na GSM kuamriwa kulipa Faini Kubwa.
Kwahiyo GSM mlichokifanya leo ni Kuwawahi TFF kabla ya kuwapa Simba SC Ripoti ya Mkataba wenu wa Udhamini Mwenza Kujitoa na mbakie tu na Yanga SC yenu kwani huenda huko mbele ya Safari Kisheria mngepewa Adhabu Kali na Faini ya zaidi hata ya iliyokuwa Hela ya Udhamini wenu wa Shilingi Bilioni 2 na Milioni 100 Kitu ambacho hamkukitaka kabisa kwani kwa sasa mna taabu ya Pesa (Uchumi wenu) umeyumba kidogo na Magodoro yenu Magumu kama Matofali ya Kampuni ya Strabag hayanunuliki tena.
Hizi ndio akili za kitanzania😀🚶SIMBA BABA LAO
Sawa unakua na if. Kwaupande mmoja ua kwa pande zote mbiliTerms of conditions zinapofeli ndipo temination of conduct inatokea. Huenda walikubaliana ila baadhi ya mambo yafanyike under a certain time na huo mda umefika bila kutekeleza. Kila mkataba huwa na If
[https://res]Sawa unakua na if. Kwaupande mmoja ua kwa pande zote mbili
The super jiniasi nimependa hapa, "kwani kwa sasa mna taabu ya Pesa (Uchumi wenu) umeyumba kidogo na Magodoro yenu Magumu kama Matofali ya Kampuni ya [ color=red]Strabag hayanunuliki tena."Haya Sasa zimeshaanza Kuvuja na kutufikia Watu ambao ni Gifted Intellectually, Knowledgeable, Challengers and Well Informed People juu ya sababu iliyowapelekea Kujitoa katika Udhamini Mwenzae wa Ligi Kuu ya NBC.
Ukweli ni kwamba kumbe baada ya Klabu makini, yenye Watu Werevu tupu na inayoongozwa na CEO Mwanamke Barbara Gonzalez ya Simba SC Kuomba Barua rasmi ya Mkataba wenu na TFF huku Serikali kupitia FCC kuomba Kuuchunguza Mkataba wenu GSM mlikuwa mnaenda Kuumbuka na hata Kuingia Hasara na Reputation yenu Kuharibika.
Imeshajulikana kuwa Mkubwa Mmoja kutoka FCC na ambaye pia ni Mwanasheria Kitaaluma na mwana Yanga SC Mwenzenu baada ya kupitia Mkataba wenu aligundua Mapungufu makubwa ya Kisheria ambapo kama Mtego wa Simba SC kwa TFF kutaka wapewe Barua rasmi ungefanikiwa na TFF kuwapa Simba SC basi Simba SC walikuwa wameshaandaa Wanasheria wake Nguli na wangeenda hadi FIFA na CAS ambapo kama mlivyoshindwa Kesi ya Mchezaji Bernard Morrison na hii oia mmgeshindwa na GSM kuamriwa kulipa Faini Kubwa.
Kwahiyo GSM mlichokifanya leo ni Kuwawahi TFF kabla ya kuwapa Simba SC Ripoti ya Mkataba wenu wa Udhamini Mwenza Kujitoa na mbakie tu na Yanga SC yenu kwani huenda huko mbele ya Safari Kisheria mngepewa Adhabu Kali na Faini ya zaidi hata ya iliyokuwa Hela ya Udhamini wenu wa Shilingi Bilioni 2 na Milioni 100 Kitu ambacho hamkukitaka kabisa kwani kwa sasa mna taabu ya Pesa (Uchumi wenu) umeyumba kidogo na Magodoro yenu Magumu kama Matofali ya Kampuni ya Strabag hayanunuliki tena.
Kunywa maji kwanza ili upooze huo mzuka uliopanda,halafu ujifunze kuandika.Wewe ni mpumbavu ujui ata maana ya mkataba, yaani ulitaka gsm ndo akae na vilabu badala ya bodi ya ligi au tff, alafu unasema wamevunja mkataba, terms za huo mkataba unazijua?
Unapoferi kutekeleza matakwa ya vipengele kwenye mkataba husika unakuwa umevunjika automaticaly, ayo maswali unayouliza kawaulize tff na sio gsm ayawahusu.