Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za mwaka 2015 ndo unazileta leo (7 years a go), na hio picha uliyoituma imeandikwa kabisa mwaka, yani pamoja na kubebwa kote bado mna wenge
na mimi nimeweka tarehe ionekane kwa makusudiHabari za mwaka 2015 ndo unazileta leo (7 years a go), na hio picha uliyoituma imeandikwa kabisa mwaka, yani pamoja na kubebwa kote bado mna wenge
Sidhani kama wana majibu,maana hata bodi ya ligi wamesema waweke bayana ni vigezo gani bodi ya ligi na TFF hawakuzingatia ?
za Mo hazisaidii, lakini za GSM zinasaidia kunogesha ligi ambayo ninaifuatilia na ni sehemu ya maisha yangu!Hela za Mo na GSM zinakusaidia nini katika maisha yako ya kila siku
Sasa popoma mwingine anarukaruka tu.Facts tupuView attachment 2112253
Malalamiko yao ndio ayo
Kukukaza vizuri.Hela za Mo na GSM zinakusaidia nini katika maisha yako ya kila siku
barua nzima imejaaa sababu SIMBA unataka ushindane na mnyama kwa pesa ya magodoroIla nyie makolo bhana, GSM katoa sababu kwanini anavunja mkataba, kuvunja mkataba ni vitu vya kawaida sana kwenye mambo ya business wala sio kitu cha kushangaa kama una uelewa...
Ivi ndo hawa wanaitwa chawa au hao wanajina lingine mkuuUkiona Boss anamnunua mtu wa kupiga porojo, yamkini hajiamini na alichonacho.
Wewe matako si ulisema hapa Mbeya City wameuza mechiMbeya City FC haya matatizo yote mmeyataka nyie kwa Kukataa kupokea Bahasha zao za Rushwa ambazo huwa wanazitoa kwa Vilabu vingi ili Washinde.
Na mlichoharibu zaidi ni Kuzikataa Pesa zao za Janja Janja ili wawafunge halafu mmetoa Siri hii hivyo imewauma na wameona wameshajulikana hivyo hakuna namna zaidi tu ya Kujitoa ili Kulinda Heshima ya Kampuni ya Janja Janja tokea ilipokuwa Home Shopping Center (HSC)
Na Mtibwa Sugar FC hawamuachi Mtu.
Au sio, simba mna pesa gani zaidi ya kutegemea familia ya kanjibai siku akiwajambisha tu kidogo mnaachia mashuzi nchi nzima, juzi aliwa unfollow wachezaji na timu instagram watu wakapata muwaobarua nzima imejaaa sababu SIMBA unataka ushindane na mnyama kwa pesa ya magodoro
kuna aliekufa baada Mo kufanya hivyo au kuna alieitisha press kutoka klabu ya simba?Au sio, simba mna pesa gani zaidi ya kutegemea familia ya kanjibai siku akiwajambisha tu kidogo mnaachia mashuzi nchi nzima, juzi aliwa unfollow wachezaji na timu instagram watu wakapata muwao