GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

Kwamba kampuni kubwa kama ile mwanasheria wao kakurupuka?.. tatizo ni lile lile hatukuona uwazi katika mikataba yao.
 
1644298728708.png
 
Hiyo kesi TFF hawatoboi ina maana hujui GSM ipo nyuma ya kiongozi gani mkubwa Tanzania au unajitoa ufahamu hao kodi tu wanakwepa itakuwa hicho kikesi cha kawaida sana.
 
Hela za Mo na GSM zinakusaidia nini katika maisha yako ya kila siku
za Mo hazisaidii, lakini za GSM zinasaidia kunogesha ligi ambayo ninaifuatilia na ni sehemu ya maisha yangu!
 
'Jiesiemu' ndio kashatoa mpunga, TFF ndiye aliyepoteza...ahangaike sasa kutafuta mpunga wa kuvisaidia vilabu
 
Ila nyie makolo bhana, GSM katoa sababu kwanini anavunja mkataba, kuvunja mkataba ni vitu vya kawaida sana kwenye mambo ya business wala sio kitu cha kushangaa kama una uelewa...
barua nzima imejaaa sababu SIMBA unataka ushindane na mnyama kwa pesa ya magodoro
 
Siku zingine mkiambiwa kuwa Tanzania nzima Simba SC ndiyo Baba Lao muwe mnaelewa na msibishe. Na mkiambiwa kuwa Tanzania nzima Klabu pekee ambayo ndiyo inaongoza kwa kuwa na Mashabiki Werevu ( Intelligent ) na waliosoma mno ni ya Simba SC msiwe mnakataa au kubisha.

Kwa Kujitoa Kwenu kama Wadhamini Wenza ni Uthibitisho kuwa CEO wa Simba SC si tu ni Msomi bali pia ni Mwerevu kuliko nyie GSM na wana Yanga SC wote na katika hili Simba SC ndiyo Washindi na kwa mlichokifanya tumefurahi sana.

Mmezidiwa na Msimamo wa Mtu Mmoja ambaye pamoja na Kutishwa na TFF kuwa watamfungia bado aliendelea Kusimama Kidete na kuwa na Msimamo kuwa kamwe Simba SC yetu haitovaa Jezi zenye Nembo ya Kampuni ya GSM.
 
Mbeya City FC haya matatizo yote mmeyataka nyie kwa Kukataa kupokea Bahasha zao za Rushwa ambazo huwa wanazitoa kwa Vilabu vingi ili Washinde.

Na mlichoharibu zaidi ni Kuzikataa Pesa zao za Janja Janja ili wawafunge halafu mmetoa Siri hii hivyo imewauma na wameona wameshajulikana hivyo hakuna namna zaidi tu ya Kujitoa ili Kulinda Heshima ya Kampuni ya Janja Janja tokea ilipokuwa Home Shopping Center (HSC)

Na Mtibwa Sugar FC hawamuachi Mtu.
Wewe matako si ulisema hapa Mbeya City wameuza mechi
 
barua nzima imejaaa sababu SIMBA unataka ushindane na mnyama kwa pesa ya magodoro
Au sio, simba mna pesa gani zaidi ya kutegemea familia ya kanjibai siku akiwajambisha tu kidogo mnaachia mashuzi nchi nzima, juzi aliwa unfollow wachezaji na timu instagram watu wakapata muwao
 
Au sio, simba mna pesa gani zaidi ya kutegemea familia ya kanjibai siku akiwajambisha tu kidogo mnaachia mashuzi nchi nzima, juzi aliwa unfollow wachezaji na timu instagram watu wakapata muwao
kuna aliekufa baada Mo kufanya hivyo au kuna alieitisha press kutoka klabu ya simba?
 
Back
Top Bottom