GSM Mmesahau Kuweka Mabango?

GSM Mmesahau Kuweka Mabango?

Kwenye mechi yoyote ya ligi kuu, kwa uchache kunatakiwa kuwa na mabango kadhaa kuwekwa uwanjani.
1. Bango la shirikisho.
2. Bango la logo ya ligi
3. Bango la wadhamini wa ligi (mdhamini mkuu, mdhamini mwenza, mdhamini anayeonyesha ligi kwa TV na mtangazaji kwa njia ya redio).
4. Bango la mdhamini binafsi wa klabu mwenyeji.

Katika hayo yote hapo juu, sio kazi ya mdhamini kwenda uwanjani "kusimika mabango".
Hiyo ni kazi ya timu mwenyeji wa mechi husika.

Mdhamini anazikabidhi timu zote kupitia bodi ya ligi, kitu kinachoitwa "vifaa" yakiwemo mabango, nembo n.k.

Kazi ya mdhamini inaishia hapo.

Kama uko serious kwenye huo uzi wako, nadhani unatakiwa kulifahamu hili.
Vinginevyo uwe ulikua unatania tu.
Kama na wewe uko serious ungetwambia Kwa nini Mabango hayakuwekwa!
 
Akisoma hii atafuta uzi, wallah
 
Kiswahili sahihi ni hiki: ungesahihisha kwanza makosa yako nadhani ungekuwa unamiliki hata baiskeli Sasa hivi. Inaonekana wewe ni mmiliki wa Banda la kuuza nguo za mitumba na ndio linalokupa kiburi cha kuharibu lugha
Dah... Kwa hiyo umeona wauza mitumba ni watu wa hadhi ya chini sana siyo?
 
Kama na wewe uko serious ungetwambia Kwa nini Mabango hayakuwekwa!
Kabla sijakujibu hili, umeshaelewa kazi ya kuweka mabango uwanjani ni ya nani ?
Yaani nani anahusika na kuwajibika na uwepo wa mabango uwanjani ?

Ukinijibu hili, nitakupa jibu la swali lako.
 
Dah... Kwa hiyo umeona wauza mitumba ni watu wa hadhi ya chini sana siyo?
Hali ya chini hapa inahusikaje. Nazungumzia mazingira yanayokuzunguka ndio yanayokusababisha kudisregard simple norms. Kwako speech is speech as long as the audience understands
 
Kiswahili sahihi ni hiki: ungesahihisha kwanza makosa yako nadhani ungekuwa unamiliki hata baiskeli Sasa hivi. Inaonekana wewe ni mmiliki wa Banda la kuuza nguo za mitumba na ndio linalokupa kiburi cha kuharibu lugha
Vipi umemaliza kusahisha mitiani za madogo wa primary?
 
Hali ya chini hapa inahusikaje. Nazungumzia mazingira yanayokuzunguka ndio yanayokusababisha kudisregard simple norms. Kwako speech is speech as long as the audience understands
Ndugu yangu huelewi hata unayemshambulia ni nani.... Hebu soma reply zako za mwanzo kama mimi ndio ulikuwa unaniambia habari za wauza mtumba.
 
Naona hapa uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Tabora kwenye hii mechi ya Kmc na Simba, hamna bango hata moja au ndo mmeona msihangaike kwenye mechi za Simba kuyaweka? Kwa jinsi Mashabiki wa Simba walivyo jaa, wangeweza hata kuyachana, Bora mmejiongeza!
Anayeweka mabango sio gsm ni tff na bodi ya ligi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kiswahili sahihi ni hiki: ungesahihisha kwanza makosa yako nadhani ungekuwa unamiliki hata baiskeli Sasa hivi. Inaonekana wewe ni mmiliki wa Banda la kuuza nguo za mitumba na ndio linalokupa kiburi cha kuharibu lugha

Kwani umekua Bakita?
 
Back
Top Bottom