GSM Mmesahau Kuweka Mabango?

GSM Mmesahau Kuweka Mabango?

Naona hapa uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Tabora kwenye hii mechi ya Kmc na Simba, hamna bango hata moja au ndo mmeona msihangaike kwenye mechi za Simba kuyaweka? Kwa jinsi Mashabiki wa Simba walivyo jaa, wangeweza hata kuyachana, Bora mmejiongeza!
Ujue ifike mahali tuache ushabiki wa kijinga. Siyo bango la GSM tu,hata la NBC halikuepo.
Hili ni kosa la mwejeji wa mechi.

Lakini pia,unashangilia au kushabikia kutokuepo kwa bango la GSM,ilhali Simba hakuna anachokipata kutoka kwa GSM. Mlishabikia Azam hawajaweka,ila juzi mliona yalivyokua yanadisplay uwanjani,na kama haitoshi begani pia.

Mabango ya GSM hayataonekana kwenye mechi ambazo tu,Simba atakua mwenyeji.
Ila mgeni nembo ya GSM itakua begani kama kawa.
Na kungine kote,nembo ya GSM itaendelea kuepo madhali tu,mwenyeji kakubali udhamini.

Ni ujinga kogomea hela,ilhali ukiwa ugenini wadhamini wote wanakuwa displayed uwanjani.
 
Lengo ilikuwa kukomoa Simba wavae hilo nembo lao,Simba wamegoma basi hawahangaiki tena maana lengo lao halikufanikiwa
 
Back
Top Bottom