Akisoma hii atafuta uzi, wallah
Kabla sijakujibu hili, umeshaelewa kazi ya kuweka mabango uwanjani ni ya nani ?
Yaani nani anahusika na kuwajibika na uwepo wa mabango uwanjani ?
Ukinijibu hili, nitakupa jibu la swali lako.
Dunia ni darasa mkuuKwani tupo darasani
Ujue ifike mahali tuache ushabiki wa kijinga. Siyo bango la GSM tu,hata la NBC halikuepo.Naona hapa uwanja wa Ally Hassan Mwinyi Tabora kwenye hii mechi ya Kmc na Simba, hamna bango hata moja au ndo mmeona msihangaike kwenye mechi za Simba kuyaweka? Kwa jinsi Mashabiki wa Simba walivyo jaa, wangeweza hata kuyachana, Bora mmejiongeza!
Mbona siku ya SIMBA na Yanga hatukuyaona ,wakati mitandaoni mlisema yatakuwepoMdhamini anazikabidhi timu zote kupitia bodi ya ligi, kitu kinachoitwa "vifaa" yakiwemo mabango, nembo n.k.