GSM, Mshindo Msola tuachie Yanga yetu

GSM, Mshindo Msola tuachie Yanga yetu

Sasa nini kinasababisha GSM wanajihusisha na mambo yasiyo wahusu? ni Kazi ya Financer kutafuta na kusajiri wachezaji? au na hao Sportspesa na wao wameleta wachezaji wao?

Mleta mada analalamika namna matendo ya GSM yanavyohasiri ufanisi wa timu, mimi nimeelezea wanatoa wapi hizo guts.
wewe unasema sports team haiongozwi hivyo?

Uliwasikia TeamViewer wameweka kambi lisboni kusakanya sign ya lonardo?
Nani aliyekuambia GSM wametafuta wachezaji?
Governance ni nini kwenye timu? Hebu tuelezee hilo.
Timu imefungwa bao moja, basi ishakuwa nongwa. Utafikiri timu imefungwa saba bila.
 
Nani aliyekuambia GSM wametafuta wachezaji?
Governance ni nini kwenye timu? Hebu tuelezee hilo.
Timu imefungwa bao moja, basi ishakuwa nongwa. Utafikiri timu imefungwa saba bila.
Imefungwa imefungwa, na inaendeleza kuharibu profile ya timu kwenye mashindano ya kimataifa, hilo gori moja mbona wao hawakufunga.

Kama hauoni mahusiano ya malalamiko ya mleta mada na governance, nadhani tuendelee kuzungumzia hilo gori moja mkuu.
 
Nani aliyekuambia GSM wametafuta wachezaji?
Governance ni nini kwenye timu? Hebu tuelezee hilo.
Timu imefungwa bao moja, basi ishakuwa nongwa. Utafikiri timu imefungwa saba bila.
Tungeona Yanga upande wa kina msola wangekuwa wanaenda kutafuta wachezaji siyo Engineer , Engineer ni mtu wa GSM,kwahiyo hata sportpesa ,Twiga na wao walete watu wao wakatafute wachezaji?
 
GSM afungashiwe virago. Tumewachoka na siasa zenu kila mwaka mnaleta kundi jipya la wachezaji na matekeo bado mabovu, hiyo pekee inatosha kuona tunaongozwa na mambumbu wa soka.
 
Baada ya kuangalia mechi yetu ya leo haya ndo mawazo/maoni/maswali na mapendekezo yangu

1. GSM kupitia Hersi Said kwanini wanahusika kwenye usajili wa wachezaji? Yani Hersi ndo scout wa Yanga, tangu lini akasomea fani hiyo?

2. Kwanini GSM amekuwa mtendaji wa Yanga? Vitu kama wiki ya Mwananchi karatibu yeye na mapato kachukua yeye, mishahara analipa yeye na mechi na maandalizi yake anafanya yeye, Hii ni sawa?

Matokeo yake timu imekosa weledi kabisa. Mfano, kambi ya Morocco ilikuwa na faida gani zaidi ya utalii?
Mchezaji wa kwanza kusajiliwa anakosaje ITC?

Nguvu iliyowekwa kwenye tamasha la Mwananchi kwanini haikuwekwa kwenye kuandaa timu?

Mshatuona limbukeni kwa kupania mechi ya Simba tu.
Maandalizi ya nje ya uwanja mnafanya mkicheza dhidi ya Simba tu, hivi hamjui mpira wa kiafrika ni fitina?

Hamkumuuliza hata Manara wenzenu walikuwa wanafanyaje?
Matokeo yake kimataifa hatuna tunalolifanya zaidi ya kuaibisha nchi.

Sisi ni wa kuzidiwa na Biashara?
Miaka minne timu haina hata ubingwa wa nchi afu eti tujivunie uwepo wenu kweli?

Haya yote yanafanyika Mshindo Msola yupo. Nafasi yake kama mwenyekiti ina maana gani?
Yani Hersi ana nguvu kuliko Msola?
Bwana Msola tunaomba utupishe haraka kabla hatujachukua hatua. Wewe uko ndani ya uwezo wetu. Kwenye uchaguzi huwezi shinda .

GSM tuachie Yanga yetu. Jezi tutawapa wengine. Kuitumia timu yetu kibiashara huku matokeo uwanjani yakiwa sifuri sasa basi.

Bora timu iendeshwe kwa michango kuliko uwepo wenu.
Kashfa zenu tunazijua ila tulikuwa tumewastahi tu.

Nb: Soma hii;

Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)
Yanga yako na nani? umewekeza kiasi gani hata cha kuwanunulia maji wachezaji achilia mbali fedha za usajili, mishahara, chakula malazi na usafiri? Cha kwako ni hako ka ubao cha umachinga unachotembea nacho hiyo timu watu wameweka fedha zao nyamaaaza. Hakuna timu inyopenda.kushindwa kila timu inajianda kushinda ikitokea mmeshindwa msipige mayiwe
 
Jiesiemu yupo kibiashara na si kuisaidia timu. Angekuwa na akili pana angeanza kusaidia timu ili iwe bora na biashara ingejiendea bila hata nguvu ya kutangaza magodoro[emoji23][emoji23][emoji23] kweli watuachie yanga yetu. Yani msola hana akili bwege yule. Sijui wanatuonaje sisi mashabiki na wanachama wa YANGA SC??
 
Yanga yako na nani? umewekeza kiasi gani hata cha kuwanunulia maji wachezaji achilia mbali fedha za usajili, mishahara, chakula malazi na usafiri? Cha kwako ni hako ka ubao cha umachinga unachotembea nacho hiyo timu watu wameweka fedha zao nyamaaaza. Hakuna timu inyopenda.kushindwa kila timu inajianda kushinda ikitokea mmeshindwa msipige mayiwe
Na mimi. Kwani GSM unaemsifia ameweka shilingi ngapi na tumepata kitu hadi sasa zaidi ya bla bla zao tu.
 
Imefungwa imefungwa, na inaendeleza kuharibu profile ya timu kwenye mashindano ya kimataifa, hilo gori moja mbona wao hawakufunga.

Kama hauoni mahusiano ya malalamiko ya mleta mada na governance, nadhani tuendelee kuzungumzia hilo gori moja mkuu.
Okay
Kwa hiyo timu ikifungwa ibadilishe uongozi?
Unadhani kwanini Yanga ina mashabiki wengi? Kwa sababu ni timu inayoshinda mechi nyingi na kufungwa chache.
Ipo kwenye muelekeo sahihi, hata kama itatuchukua miaka kumi wote tunajua Yanga inaelekea kuwa klabu kubwa sana, huwezi kufananisha na Simba.
 
Tungeona Yanga upande wa kina msola wangekuwa wanaenda kutafuta wachezaji siyo Engineer , Engineer ni mtu wa GSM,kwahiyo hata sportpesa ,Twiga na wao walete watu wao wakatafute wachezaji?
Yule Engineer anatumwa tu kwenda kuandika Cheque na kusaini mkataba uliokwisha kuwa negotiated na kuandikwa na wanasheria.
Bin Kleb, Mwigulu nao wote huwa wanaandika cheque na kuleta wachezaji baada ya kamati ya usajili kuidhinisha.
Teams huwa na maajenti. Mfano, Simba inachukua sana Zambia pia Azam.
Yanga wakati wa Manji ilikuwa hivyohivyo, ila sasa hivi agents wao hutoa wachezaji kutoka Congo.
Na wote, Simba na Yanga wameanza kuchukua wachezaji kutoka West, hizo ni connections/Networks depending on your wallet.
Msolla na Mwakalebela hawawezi kutafuta wachezaji acha vituko!!
 
Umechanganyikiwa, Unaongea vitu hata havipo.
Simba inasajili zambia? ( kulikuwa na wazambia wawili tu + Mugalu ambaye ni mcongo) hivi wachezaji watatu wa ligi moja ndio tunaiita sana.
GSM anaenda kuokota wachezaji waliochokwa AS VITA, anawaletea na nyie mnamchekea tu.
 
Yule Engineer anatumwa tu kwenda kuandika Cheque na kusaini mkataba uliokwisha kuwa negotiated na kuandikwa na wanasheria.
Bin Kleb, Mwigulu nao wote huwa wanaandika cheque na kuleta wachezaji baada ya kamati ya usajili kuidhinisha.
Teams huwa na maajenti. Mfano, Simba inachukua sana Zambia pia Azam.
Yanga wakati wa Manji ilikuwa hivyohivyo, ila sasa hivi agents wao hutoa wachezaji kutoka Congo.
Na wote, Simba na Yanga wameanza kuchukua wachezaji kutoka West, hizo ni connections/Networks depending on your wallet.
Msolla na Mwakalebela hawawezi kutafuta wachezaji acha vituko!!
Tusibishane kwenye mambo ya ukweli ,hampendi ukweli ndo maana mnaishiaga hatua za mwanzo
 
Tusibishane kwenye mambo ya ukweli ,hampendi ukweli ndo maana mnaishiaga hatua za mwanzo
Tatizo ni washabiki kama nyinyi.
Kila mshabiki atoe milioni moja kwa mwaka, pesa siyo maneno ya shombo. Halafu muwe mnajifunza kujenga timu siyo kila kitu mnalaumu na kuvunja.
Hapo ndiyo utaona mabadiliko.
 
Huwezi kufananisha utopolo na Simba ,ndani ya miaka yote mnashiriki kwa ajili ya Simba
Mbona tumewakalisha kwenye ligi?
Mngewasaidia Ihefu basi. Kazi yenu si kusaidia??
 
Ngoma ishatolewa lyrics tunaruka nayo hii lagos kupindua meza

[Verse 01]

Yangaa! yangaa! Yangaa yangaaa
Daima mbee, mbele kwa mbelee.../

[Chorus]

Tupo maki...makini tena tupo makini.../

Kuipeperusha bendera njano kijani.../

Yanga imara nje, ndani kuipepepe rueha kimataifaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Tatizo ni washabiki kama nyinyi.
Kila mshabiki atoe milioni moja kwa mwaka, pesa siyo maneno ya shombo. Halafu muwe mnajifunza kujenga timu siyo kila kitu mnalaumu na kuvunja.
Hapo ndiyo utaona mabadiliko.
Ndo kubadilisha timu yote kila mwaka kisa hatutoi hela?
 
Okay
Kwa hiyo timu ikifungwa ibadilishe uongozi?
Unadhani kwanini Yanga ina mashabiki wengi? Kwa sababu ni timu inayoshinda mechi nyingi na kufungwa chache.
Ipo kwenye muelekeo sahihi, hata kama itatuchukua miaka kumi wote tunajua Yanga inaelekea kuwa klabu kubwa sana, huwezi kufananisha na Simba.
No no no Kobello.
No one wants the management out.

What we are saying is that, distribution of responsibilities and accountabilities should be streamlined and there should be clearity across the designated lines of responsibilities.

we want both, msola, GSM, the coach, all of them to stay as is, but we think, GSM is overdoing somethings and this is why the team is where it is now, uncompetitive internationally.
 
Nililiona mapema hili nilipoona tu tunaenda msimu mpya chini ya GSM ambao kila msimu wanafeli hakuna walilofanikiwa. Ila kwavile watu tunasubiri mpaka mambo yaharibike ndio mpige kelele, endeleni kujisifu kwa usajili mzuri na maneno mengi bila kufanya maandalizi ya timu.

Back
Top Bottom