Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Makombe mbona tunayo mengi tu??Mmetukalishaje wakati tumechukua ubingwa sisi ,na Kigoma tukachukua kombe ,mnaona sifa kufunga simba siyo kombe,hizi akili za wapi
Kombe hata Alibaba unaliagiza tu. Ila tumewakalisha kwenye ligi, hamuwezi kusema mmetusaidia wakati mpo weaker than us.