Nani aliyekuambia GSM wametafuta wachezaji?Sasa nini kinasababisha GSM wanajihusisha na mambo yasiyo wahusu? ni Kazi ya Financer kutafuta na kusajiri wachezaji? au na hao Sportspesa na wao wameleta wachezaji wao?
Mleta mada analalamika namna matendo ya GSM yanavyohasiri ufanisi wa timu, mimi nimeelezea wanatoa wapi hizo guts.
wewe unasema sports team haiongozwi hivyo?
Uliwasikia TeamViewer wameweka kambi lisboni kusakanya sign ya lonardo?
Imefungwa imefungwa, na inaendeleza kuharibu profile ya timu kwenye mashindano ya kimataifa, hilo gori moja mbona wao hawakufunga.Nani aliyekuambia GSM wametafuta wachezaji?
Governance ni nini kwenye timu? Hebu tuelezee hilo.
Timu imefungwa bao moja, basi ishakuwa nongwa. Utafikiri timu imefungwa saba bila.
Tungeona Yanga upande wa kina msola wangekuwa wanaenda kutafuta wachezaji siyo Engineer , Engineer ni mtu wa GSM,kwahiyo hata sportpesa ,Twiga na wao walete watu wao wakatafute wachezaji?Nani aliyekuambia GSM wametafuta wachezaji?
Governance ni nini kwenye timu? Hebu tuelezee hilo.
Timu imefungwa bao moja, basi ishakuwa nongwa. Utafikiri timu imefungwa saba bila.
Yanga yako na nani? umewekeza kiasi gani hata cha kuwanunulia maji wachezaji achilia mbali fedha za usajili, mishahara, chakula malazi na usafiri? Cha kwako ni hako ka ubao cha umachinga unachotembea nacho hiyo timu watu wameweka fedha zao nyamaaaza. Hakuna timu inyopenda.kushindwa kila timu inajianda kushinda ikitokea mmeshindwa msipige mayiweBaada ya kuangalia mechi yetu ya leo haya ndo mawazo/maoni/maswali na mapendekezo yangu
1. GSM kupitia Hersi Said kwanini wanahusika kwenye usajili wa wachezaji? Yani Hersi ndo scout wa Yanga, tangu lini akasomea fani hiyo?
2. Kwanini GSM amekuwa mtendaji wa Yanga? Vitu kama wiki ya Mwananchi karatibu yeye na mapato kachukua yeye, mishahara analipa yeye na mechi na maandalizi yake anafanya yeye, Hii ni sawa?
Matokeo yake timu imekosa weledi kabisa. Mfano, kambi ya Morocco ilikuwa na faida gani zaidi ya utalii?
Mchezaji wa kwanza kusajiliwa anakosaje ITC?
Nguvu iliyowekwa kwenye tamasha la Mwananchi kwanini haikuwekwa kwenye kuandaa timu?
Mshatuona limbukeni kwa kupania mechi ya Simba tu.
Maandalizi ya nje ya uwanja mnafanya mkicheza dhidi ya Simba tu, hivi hamjui mpira wa kiafrika ni fitina?
Hamkumuuliza hata Manara wenzenu walikuwa wanafanyaje?
Matokeo yake kimataifa hatuna tunalolifanya zaidi ya kuaibisha nchi.
Sisi ni wa kuzidiwa na Biashara?
Miaka minne timu haina hata ubingwa wa nchi afu eti tujivunie uwepo wenu kweli?
Haya yote yanafanyika Mshindo Msola yupo. Nafasi yake kama mwenyekiti ina maana gani?
Yani Hersi ana nguvu kuliko Msola?
Bwana Msola tunaomba utupishe haraka kabla hatujachukua hatua. Wewe uko ndani ya uwezo wetu. Kwenye uchaguzi huwezi shinda .
GSM tuachie Yanga yetu. Jezi tutawapa wengine. Kuitumia timu yetu kibiashara huku matokeo uwanjani yakiwa sifuri sasa basi.
Bora timu iendeshwe kwa michango kuliko uwepo wenu.
Kashfa zenu tunazijua ila tulikuwa tumewastahi tu.
Nb: Soma hii;
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad Utangulizi Mfanyabiashara Said Mohammed Saad anamiliki Kampuni ya Home Shopping Center iliyopo Kariakoo Mtaa wa Swahili na Msimbazi katika Jengo la Ghorofa lenye vioo vilivyochorwa picha za waigizaji wa Kikundi cha Orijino Commedy kinachorusha vipindi...www.jamiiforums.com
Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center (GSM Foundation)
Na mimi. Kwani GSM unaemsifia ameweka shilingi ngapi na tumepata kitu hadi sasa zaidi ya bla bla zao tu.Yanga yako na nani? umewekeza kiasi gani hata cha kuwanunulia maji wachezaji achilia mbali fedha za usajili, mishahara, chakula malazi na usafiri? Cha kwako ni hako ka ubao cha umachinga unachotembea nacho hiyo timu watu wameweka fedha zao nyamaaaza. Hakuna timu inyopenda.kushindwa kila timu inajianda kushinda ikitokea mmeshindwa msipige mayiwe
OkayImefungwa imefungwa, na inaendeleza kuharibu profile ya timu kwenye mashindano ya kimataifa, hilo gori moja mbona wao hawakufunga.
Kama hauoni mahusiano ya malalamiko ya mleta mada na governance, nadhani tuendelee kuzungumzia hilo gori moja mkuu.
Yule Engineer anatumwa tu kwenda kuandika Cheque na kusaini mkataba uliokwisha kuwa negotiated na kuandikwa na wanasheria.Tungeona Yanga upande wa kina msola wangekuwa wanaenda kutafuta wachezaji siyo Engineer , Engineer ni mtu wa GSM,kwahiyo hata sportpesa ,Twiga na wao walete watu wao wakatafute wachezaji?
Umechanganyikiwa, Unaongea vitu hata havipo.Yule Engineer anatumwa tu kwenda kuandika Cheque na kusaini mkataba uliokwisha kuwa negotiated na kuandikwa na wanasheria.
Bin Kleb, Mwigulu nao wote huwa wanaandika cheque na kuleta wachezaji baada ya kamati ya usajili kuidhinisha.
Teams huwa na maajenti. Mfano, Simba inachukua sana Zambia pia Azam.
Yanga wakati wa Manji ilikuwa hivyohivyo, ila sasa hivi agents wao hutoa wachezaji kutoka Congo.
Na wote, Simba na Yanga wameanza kuchukua wachezaji kutoka West, hizo ni connections/Networks depending on your wallet.
Msolla na Mwakalebela hawawezi kutafuta wachezaji acha vituko!!
Tusibishane kwenye mambo ya ukweli ,hampendi ukweli ndo maana mnaishiaga hatua za mwanzoYule Engineer anatumwa tu kwenda kuandika Cheque na kusaini mkataba uliokwisha kuwa negotiated na kuandikwa na wanasheria.
Bin Kleb, Mwigulu nao wote huwa wanaandika cheque na kuleta wachezaji baada ya kamati ya usajili kuidhinisha.
Teams huwa na maajenti. Mfano, Simba inachukua sana Zambia pia Azam.
Yanga wakati wa Manji ilikuwa hivyohivyo, ila sasa hivi agents wao hutoa wachezaji kutoka Congo.
Na wote, Simba na Yanga wameanza kuchukua wachezaji kutoka West, hizo ni connections/Networks depending on your wallet.
Msolla na Mwakalebela hawawezi kutafuta wachezaji acha vituko!!
Kwani UD Songo waliwatoa hatua gani?Tusibishane kwenye mambo ya ukweli ,hampendi ukweli ndo maana mnaishiaga hatua za mwanzo
Huwezi kufananisha utopolo na Simba ,ndani ya miaka yote mnashiriki kwa ajili ya SimbaKwani UD Songo waliwatoa hatua gani?
Tatizo ni washabiki kama nyinyi.Tusibishane kwenye mambo ya ukweli ,hampendi ukweli ndo maana mnaishiaga hatua za mwanzo
Mbona tumewakalisha kwenye ligi?Huwezi kufananisha utopolo na Simba ,ndani ya miaka yote mnashiriki kwa ajili ya Simba
Mmetukalishaje wakati tumechukua ubingwa sisi ,na Kigoma tukachukua kombe ,mnaona sifa kufunga simba siyo kombe,hizi akili za wapiMbona tumewakalisha kwenye ligi?
Mngewasaidia Ihefu basi. Kazi yenu si kusaidia??
Ndo kubadilisha timu yote kila mwaka kisa hatutoi hela?Tatizo ni washabiki kama nyinyi.
Kila mshabiki atoe milioni moja kwa mwaka, pesa siyo maneno ya shombo. Halafu muwe mnajifunza kujenga timu siyo kila kitu mnalaumu na kuvunja.
Hapo ndiyo utaona mabadiliko.
No no no Kobello.Okay
Kwa hiyo timu ikifungwa ibadilishe uongozi?
Unadhani kwanini Yanga ina mashabiki wengi? Kwa sababu ni timu inayoshinda mechi nyingi na kufungwa chache.
Ipo kwenye muelekeo sahihi, hata kama itatuchukua miaka kumi wote tunajua Yanga inaelekea kuwa klabu kubwa sana, huwezi kufananisha na Simba.