GSM, Mshindo Msola tuachie Yanga yetu

Mmetukalishaje wakati tumechukua ubingwa sisi ,na Kigoma tukachukua kombe ,mnaona sifa kufunga simba siyo kombe,hizi akili za wapi
Makombe mbona tunayo mengi tu??
Kombe hata Alibaba unaliagiza tu. Ila tumewakalisha kwenye ligi, hamuwezi kusema mmetusaidia wakati mpo weaker than us.
 
Thats where you got it wrong!
GSM is just writing cheques.
Msolla can not go to Kinshasa and write a Cheque from GSM.
Same as Hersi can't write a Cheque from Young Africans.
Msolla can't even write a Cheque to Avic Town!, Changieni timu, mkiwa na coffers ndiyo muanze kulalamika.
Yaani Simba ifungwe halafu waseme DEWJI TUACHIE TIMU YETU???
Punguzeni vituko jamani.
 
Nani aliyekuambia GSM wametafuta wachezaji?
Governance ni nini kwenye timu? Hebu tuelezee hilo.
Timu imefungwa bao moja, basi ishakuwa nongwa. Utafikiri timu imefungwa saba bila.
Ulitaka mfungwe ngap ili ujue yanga ni rojo rojo na jaina lolote?
 
Hahahhahaha!hata kama bandama zimefeli haiwez kuwa kigezo cha ww kushndwa kuchekaa
 
Upuuzi tu mnauwezo huo wa kuitunza timu hata kwa wiki moja?!!hizo buku tu kwa mwezi mnasubilia hadi mkutano mkuu, ndio mzilipe?!!kwanza hata cjui hawa kina Mo, na GSM, wanapata faida gani kwenye hizi timu?!!
Upuuzi mkubwa ni pale wanapozing'ang'ania hizi timu kama hawapati faida.
 
Anzeni kupambana mhakinishe mna uwezo wa kupata Milo mitatu kwa siku kwa kutumia jasho lako, Mambo ya kuitaka Yanga yaje baadae ukisha jimudu ki uchumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…