GSM pamoja na Kupigiwa Magoti na TFF dhaifu ya Rais Karia ili mrudi na mnarudi kweli, jueni kuwa Simba SC hatutovaa Nembo yenu

Kila kitu unajua wewe,kila mtu mshikaji wako wewe,kila mtu mnajuana na wewe.Acha mambo ya kiswahili wewe.Kujitapa tapa hakukusaidii kitu hayo maisha ya kitapeli tapeli yani kila kitu unajua wewe.Acha hizo wewe

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Hapo ulipo hata mia huna, ....IST inakushinda kumiliki....sasa utashindana na misuli ya GSM?
Kibaraka wa Babra huyo anatumika kweli kweli badae akachukue posho yake,huyu Jamaa anatumika mitandaoni kuchafua watu kwa maslahi yake na wanaomtuma.Hovyo kabisa,maisha ya kusujudia watu ili mkono wake uende kinywani.Acha kuchafua watu

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…