Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ,Kwani kinachofanywa na mo ni lazima kila mtu akifanye?Kwanini MO hakufanya ivo,akaikimblia Simba?
Mkuu ,Kwani kinachofanywa na mo ni lazima kila mtu akifanye?
NAKAZIAKwani kinachofanywa na Bakhresa ni lazima kila mtu akifanye?
KimeumanaKwani kinachofanywa na Bakhresa ni lazima kila mtu akifanye?
Kabla ya kumshauri inabidi ujue lengo hasa ya gsm kudhamini Yanga.Naanza kuona GSM akianza kuzalisha bidhaa nyengine pasi na magodoro.
Imeniingia akilini kuwa huyu sasa anaweza anzisha timu yake ya soka kama Azam.
Kama ataafiki wazo hili ni vema afikirie kuianzisha nje ya Dar es Salaam ili kukuza soka nchini.
Dah! Jibu na jibu . Swali na swali.Mbinguni tutafika tukiwa tumechoka Sana kama hali ndiyo hii.Kwani kinachofanywa na Bakhresa ni lazima kila mtu akifanye?
Africa Lyon ilimshinda akamuuzia ZamundaKwanini MO hakufanya ivo,akaikimblia Simba?
Hawako kwaajili ya kukuza soka, wapo kwaajili ya kukuza biashara zaoNaanza kuona GSM akianza kuzalisha bidhaa nyengine pasi na magodoro.
Imeniingia akilini kuwa huyu sasa anaweza anzisha timu yake ya soka kama Azam.
Kama ataafiki wazo hili ni vema afikirie kuianzisha nje ya Dar es Salaam ili kukuza soka nchini.