GSM sasa aanzishe timu ya soka.

GSM sasa aanzishe timu ya soka.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Naanza kuona GSM akianza kuzalisha bidhaa nyengine pasi na magodoro.
Imeniingia akilini kuwa huyu sasa anaweza anzisha timu yake ya soka kama Azam.
Kama ataafiki wazo hili ni vema afikirie kuianzisha nje ya Dar es Salaam ili kukuza soka nchini.
 
Kabla ya kumshauri inabidi ujue lengo hasa ya gsm kudhamini Yanga.
 
Naanza kuona GSM akianza kuzalisha bidhaa nyengine pasi na magodoro.
Imeniingia akilini kuwa huyu sasa anaweza anzisha timu yake ya soka kama Azam.
Kama ataafiki wazo hili ni vema afikirie kuianzisha nje ya Dar es Salaam ili kukuza soka nchini.
Hawako kwaajili ya kukuza soka, wapo kwaajili ya kukuza biashara zao
 
Back
Top Bottom