Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hamna nidhamu na wala hamtaki kuwa sehemu ya nidhamu.Halali yenu.Ni wakati sasa uongozi mturudishie msemaji wetu hakuna namna
Pole sana Haji lakini adhabu ni kubwa mno faini ni kubwa mno...sijui imewekwa kwa kukomoa au la
Historia inaweka wazi kuwa walifungiwa pia
Mwakalebela
Bumbuli
Jerry Mulo
Mbona Yanga tu ndio tunaofungiwa?
Hukumu imekazia kuwa ni ndani na nje ya TanzaniaManara ataendelea na
majukumu yake kama kawaida.
Atayafanyia akiwa Zanzibar, huko Msomali Karia mamlaka yake hayafiki.
Utofauti ni kuwa Press conference alikuwa akizifanyia JANGWANI penye makao makuu ya Yanga, sasa hivi atafanyia KIJANGWANI penye tawi la Yanga.
Kwani hujaisoma hukumu?Manara ataendelea na
majukumu yake kama kawaida.
Atayafanyia akiwa Zanzibar, huko Msomali Karia mamlaka yake hayafiki.
Utofauti ni kuwa Press conference alikuwa akizifanyia JANGWANI penye makao makuu ya Yanga, sasa hivi atafanyia KIJANGWANI penye tawi la Yanga.
Yaani Kote Facebook, Instagram, Twitter, BadooHukumu imekazia kuwa ni ndani na nje ya Tanzania
Noted!Nuggaz kwa jinsi alivyorogwa na aliyebakia hapo Yanga SC akikubali kurejea naenda Kuharisha Makusudi pale Getini Lugalo Barracks mbele ya MP Wakomavu.