Mkuu hapo GSM anaharibuje mpira?Duh,, huyu jamaa atatuharibia mpira wetu
BMT Ingewahi Ikamtupa Nje Ya MichezoDuh,, huyu jamaa atatuharibia mpira wetu
Nikiunganisha dots kwa haya yanayoendelea juu ya huyu bwana gharib said Mohammed kwenye mpira wetu, napata mashaka, suala sio motisha tu kwa yanga,,,Mkuu hapo GSM anaharibuje mpira?
Yaani kuwapa wachezaji motisha ndo kuharibu mpira?
Mbona MO dewji ametoa sana hela za motisha kwa simba, Vipi nae alikua anaharibu mpira?
Sawa uto,,,Aliskika kolo mmoja 😀😀😀
Hii Nchi ni ngumu sana aisee.
Kolo hali mbayaAliskika kolo mmoja 😀😀😀
Sasa mil 116 za nn?Simba Sc Hamna Timu Ya Kuifunga Yanga... Narudia Tena HAMNA TIMU YA KUIFUNGA YANGA!!
Za Kuwapa Wachezaji Wa Yanga.Sasa mil 116 za nn?
Bonus za kushinda mechi.Sasa mil 116 za nn?
Simba Sc Hamna Timu Ya Kuifunga Yanga... Narudia Tena HAMNA TIMU YA KUIFUNGA YANGA!!
Ongezea Na ile ilowanyoosha Kwenye Ngao Ya Jamii.Yanga ipi inazumgumzwa, ile iliyofungwa moja kwa bila na Namungo au ni ipi?
Au ile iliyopigwa nje ndani na ile Team ndogo kutoka Nigeria tena kwenye mashindano madogo kabisa. Ni kujipa ubora ambao kiuhalisia haupo!
Ile iliyowafunga Makolo 1-0 plus udambwi mwingi.Yanga ipi inazumgumzwa, ile iliyofungwa moja kwa bila na Namungo au ni ipi?
Au ile iliyopigwa nje ndani na ile Team ndogo kutoka Nigeria tena kwenye mashindano madogo kabisa. Ni kujipa ubora ambao kiuhalisia haupo!
Akiljibu nishtue, kama majibu yake ni utumbo ajiandae kupata dislike 100!Mkuu hapo GSM anaharibuje mpira?
Yaani kuwapa wachezaji motisha ndo kuharibu mpira?
Mbona MO dewji ametoa sana hela za motisha kwa simba, Vipi nae alikua anaharibu mpira?
Kuwapa pesa za Motisha wachezaji wa timu yako kwa mechi yoyote ni jambo jema kabisa.Akiljibu nishtue, kama majibu yake ni utumbo ajiandae kupata dislike 100!
Si afadhali hao Utopolo wanatoa motisha kwa wachezaji wao wakati sisi tunatoa pesa kwa marefa na baadhi ya wachezaji wa timu pinzani.Kuwapa pesa za Motisha wachezaji wa timu yako kwa mechi yoyote ni jambo jema kabisa.
Kama watacheza mpira kufuata kanuni zake.
Hilo ni sahihi
Darby tunawapiga 2 na mzigo wenu wa m 100 ukiwa mezani na ubingwa mtausikia kwenye habari za michezo tu hamuupati.Kwahiyo tuwaachie mshinde?
Hivi watu wengine mna matatizo gani?[emoji3]