GSM waahidi milioni 116 yanga ikiifunga Simba

Mkuu hapo GSM anaharibuje mpira?

Yaani kuwapa wachezaji motisha ndo kuharibu mpira?

Mbona MO dewji ametoa sana hela za motisha kwa simba, Vipi nae alikua anaharibu mpira?
Nikiunganisha dots kwa haya yanayoendelea juu ya huyu bwana gharib said Mohammed kwenye mpira wetu, napata mashaka, suala sio motisha tu kwa yanga,,,
 
Hapo refa na wewe inabidi uombe mgao maana ni hera ya uhakika
 
Simba Sc Hamna Timu Ya Kuifunga Yanga... Narudia Tena HAMNA TIMU YA KUIFUNGA YANGA!!

Yanga ipi inazumgumzwa, ile iliyofungwa moja kwa bila na Namungo au ni ipi?
Au ile iliyopigwa nje ndani na ile Team ndogo kutoka Nigeria tena kwenye mashindano madogo kabisa. Ni kujipa ubora ambao kiuhalisia haupo!
 
Ongezea Na ile ilowanyoosha Kwenye Ngao Ya Jamii.
 
Yanga ipi inazumgumzwa, ile iliyofungwa moja kwa bila na Namungo au ni ipi?
Au ile iliyopigwa nje ndani na ile Team ndogo kutoka Nigeria tena kwenye mashindano madogo kabisa. Ni kujipa ubora ambao kiuhalisia haupo!
Ile iliyowafunga Makolo 1-0 plus udambwi mwingi.
 
Hizo si zile pesa ambazo alizichukua siku ya Wananchi.
 
Mkuu hapo GSM anaharibuje mpira?

Yaani kuwapa wachezaji motisha ndo kuharibu mpira?

Mbona MO dewji ametoa sana hela za motisha kwa simba, Vipi nae alikua anaharibu mpira?
Akiljibu nishtue, kama majibu yake ni utumbo ajiandae kupata dislike 100!
 
Kuwapa pesa za Motisha wachezaji wa timu yako kwa mechi yoyote ni jambo jema kabisa.
Kama watacheza mpira kufuata kanuni zake.
Hilo ni sahihi
 
Si afadhali hao Utopolo wanatoa motisha kwa wachezaji wao wakati sisi tunatoa pesa kwa marefa na baadhi ya wachezaji wa timu pinzani.
 
Back
Top Bottom