GSM waahidi milioni 116 yanga ikiifunga Simba

Simba Sc Hamna Timu Ya Kuifunga Yanga... Narudia Tena HAMNA TIMU YA KUIFUNGA YANGA!!
Ila tuna timu ya kuwakeraa Yanga na kuwafanya msilale mnachowaza ni kuifunga simba kweli kazi mnayo
 
Mimi timu mnyama. Kusema la ukweli nikiuona huu Uzi tumbo linanichefukwa. Leo nimeingia mara moja tu kuandika yangu haya.
 
Ila tuna timu ya kuwakeraa Yanga na kuwafanya msilale mnachowaza ni kuifunga simba kweli kazi mnayo
Simba ndo mke wetu katika league ya NBC(Maana ndo timu tumeifunga mara nyingi),Sasa Mke wako wa ndoa unakuaje na shauku ya kumt**ba wakati kila siku una lala nae?
 
Huna point. Comments za kuendekeza ufirauni mimi huwa naona ni za watu wenye low IQ. Thinking capacity ni very loooow
Sisi mbona mnatuita Kabwili FC ilihali ule upambavu alifanya mtu mmoja pekee.

Kwann tukifanya sisi iwe low IQ Lakini mkifanya nyie high IQ.

Au nyie ndiye mna haki ya kututania sisi?

Kingine,Dada hivi vitu usivichukulie serious sana maana vitakuumiza.
 
Mi sijapenda tuu kuhusisha utani wa timu na mambo ya faragha. Mkumbuke huko kuna baba zenu pia ni mashabiki na kuna waume za dada zenu ni wachezaji kwahyo mtawala hizo unazosema?? Sawa siko serious kihivyo ila sipendii tuu mbona watu wanataniiaaaa kila aina ya tani ila kwa hilo utanisamehe ila maybe kuna wanaopenda utani wa hivi nyie wanawatukana.
 
Sisi mbona mnatuita Kabwili FC ilihali ule upambavu alifanya mtu mmoja pekee.

Kwann tukifanya sisi iwe low IQ Lakini mkifanya nyie high IQ.

Au nyie ndiye mna haki ya kututania sisi?

Kingine,Dada hivi vitu usivichukulie serious sana maana vitakuumiza.
Huyo au hiyo Kabwili ndo nani?/nini?
 
Back
Top Bottom