Kitimoto
JF-Expert Member
- Aug 25, 2012
- 6,941
- 7,808
Goli 2 mbona chache!Darby tunawapiga 2 na mzigo wenu wa m 100 ukiwa mezani na ubingwa mtausikia kwenye habari za michezo tu hamuupati.
Mimi nimeota timu inafungwa goli 6.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli 2 mbona chache!Darby tunawapiga 2 na mzigo wenu wa m 100 ukiwa mezani na ubingwa mtausikia kwenye habari za michezo tu hamuupati.
Ila tuna timu ya kuwakeraa Yanga na kuwafanya msilale mnachowaza ni kuifunga simba kweli kazi mnayoSimba Sc Hamna Timu Ya Kuifunga Yanga... Narudia Tena HAMNA TIMU YA KUIFUNGA YANGA!!
Simba ndo mke wetu katika league ya NBC(Maana ndo timu tumeifunga mara nyingi),Sasa Mke wako wa ndoa unakuaje na shauku ya kumt**ba wakati kila siku una lala nae?Ila tuna timu ya kuwakeraa Yanga na kuwafanya msilale mnachowaza ni kuifunga simba kweli kazi mnayo
Huna point. Comments za kuendekeza ufirauni mimi huwa naona ni za watu wenye low IQ. Thinking capacity ni very loooowNa J.mosi tunaenda kuwala tena Mbususu yenu [emoji23][emoji23]
Sisi mbona mnatuita Kabwili FC ilihali ule upambavu alifanya mtu mmoja pekee.Huna point. Comments za kuendekeza ufirauni mimi huwa naona ni za watu wenye low IQ. Thinking capacity ni very loooow
Mi sijapenda tuu kuhusisha utani wa timu na mambo ya faragha. Mkumbuke huko kuna baba zenu pia ni mashabiki na kuna waume za dada zenu ni wachezaji kwahyo mtawala hizo unazosema?? Sawa siko serious kihivyo ila sipendii tuu mbona watu wanataniiaaaa kila aina ya tani ila kwa hilo utanisamehe ila maybe kuna wanaopenda utani wa hivi nyie wanawatukana.Sisi mbona mnatuita Kabwili FC ilihali ule upambavu alifanya mtu mmoja pekee.
Kwann tukifanya sisi iwe low IQ Lakini mkifanya nyie high IQ.
Au nyie ndiye mna haki ya kututania sisi?
Kingine,Dada hivi vitu usivichukulie serious sana maana vitakuumiza.
Huyo au hiyo Kabwili ndo nani?/nini?Sisi mbona mnatuita Kabwili FC ilihali ule upambavu alifanya mtu mmoja pekee.
Kwann tukifanya sisi iwe low IQ Lakini mkifanya nyie high IQ.
Au nyie ndiye mna haki ya kututania sisi?
Kingine,Dada hivi vitu usivichukulie serious sana maana vitakuumiza.
Pamoja mtani. Nami nisamehe nilipokukwaza
Usijali [emoji120]Pamoja mtani. Nami nisamehe nilipokukwaza