GSM waambieni watu wenu ukweli kuhusu Kisinda, Djuma Shabani. Simba mmedanganya bei ya Banda

Niko naye namtayarishia Kitimoto akale nyumbani kwake na familia yake.

Ndiye yule aliyesema huyo mchezaji akitua Yanga wamuue.
 
🤣🤣
 
Kisinda alikuja kwa mkopo na hela za usajili walichukua as vita.
 
Mbona karudi yanga badala ya vita sasa?🤣

Ila kuna mnajitoa akili sana.
Tulia we mtoto m-little TOPO TOPOLO kwa sasa nipo bize jukwaa la siasa kwa sasa napigania uhuru wa nchi kuhusu TOZO ambazo sirikali iliombwa na wananchi a.k.a utopolo fc zitozwe, vinyesi wahedi
 
Una udumavu wa akili, kuna mkopo wa miaka 2?
we taahira alienda utopoloni kwa mkopo hela za kuuzwa berkane walichukua as vita kipi huelewei hapo? no wonder sope albino alisema huko kinyesini wenye akili ni wawili tu leo waziri feki anasimama na kusema"wananchi" walipendekeza tozo, mmekosa kazi za kufanya huko kaunda hadi mkaenda kupendekeza tozo?
Tukutane jukwaa la siasa nina kazi za maana za kufanya kule siyo kujibishana na vichaa huku
 
Wewe mataqo unajua sheria ya mkopo inasemaje?
 
Mbona karudi yanga badala ya vita sasa?[emoji1787]

Ila kuna mnajitoa akili sana.
Sasa garasa lile liende as vita atacheza namba ya nani mmerudishiwa tena wazee wakuokota wachezaji kama kina kambole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…