Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Tunamuuzia hata kwa bei ya hasara.Nani atakubali atoe hela yake kununua timu mbovu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunamuuzia hata kwa bei ya hasara.Nani atakubali atoe hela yake kununua timu mbovu?
na hii ndiyo solution yanKiongozi yeyote wa Yanga anayeikwamisha club ajiuzuru haraka sana.
Nkwabi alikuwa anamkwamisha Mo na aliachia ngazi mambo yanaenda.
Club lazima iende kwenye mfumo mpya. Awe Msolla au Mwakakebela, please ondoka mapema kabla upepo wa kisurisuri haujakufikia.
hili lilikuwa swala la muda tu....asilimia kubwa ya viongozi pale yanga ni wanasiasa...na nia yao kubwa ni kupata umaarufu kwa kuitumia yanga ili iwasaidie kisiasa na si vingine....GSM kuisaidia yanga kunazima ndoto zao..
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Yanga ni kuwa karibu viongozi wote wa Yanga ni wageni ndani ya Yanga na katika masuala ya uongozi wa klsbu za soka nchiniKiongozi yeyote wa Yanga anayeikwamisha club ajiuzuru haraka sana.
Nkwabi alikuwa anamkwamisha Mo na aliachia ngazi mambo yanaenda.
Club lazima iende kwenye mfumo mpya. Awe Msolla au Mwakakebela, please ondoka mapema kabla upepo wa kisurisuri haujakufikia.
Jamaaaa anawafaa sana simbaSimba nayo hovyo tu sasa Tshishimbi wa nini?
Dau linaanziaa ngapikama kuna mtu ana hela aje tumuuzie hii team
Ni Msola na siyo MsolwaKule utoporoni hali imechafuka,baada ya GSM kuiandikia Yanga barua rasmi kuwa wanasitisha kuisaidia timu kwa mambo ambayo yapo nje ya makataba,kwa kile walichokieleza kuwa baadhi ya viongozi wa Yanga wanalalamika kuwa wanaingiliwa na GSM katika utendaji.
Baadhi ya mambo ambayo GSM wamekua wakiyafanya zaidi na nje ya mkataba ni pamoja na kusajili wachezaji(Niyonzima,Morison, lamin Moro,na Nchimbi).Pia kulipa mishahara,kulipa gharama za kambi,kulipa nauli za ndege pamoja na kutoa bonasi kwa kila mechi ambazo timu ilishinda ikiwemo ile Mil.200 waliyoahidiwa dhidi ya Simba.
Wakati huo huo kuna taarifa za chini chini kuwa Papii Shishimbi amesaini mkataba wa awali na Simba na ni swala mda tu atatambulishwa rasimi pale Msimbazi.
Inaelekea uongozi Yanga chini ya Msolwa na Mwakalebela unashida kubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo anakwenda kufa kisokaJamaaaa anawafaa sana simba
Hapana tena anaingia kikosi cha kwanza ...huwa naona anamzidi mkude kwa altenative B ya ushambuliajiKama ni hivyo anakwenda kufa kisoka
Nyie endeleeni kutibuana GSM na Viongozi wenu huko huko, na vyombo vyenu vya habari, hakuna kiongozi alisema hayo mnayosema.Wamesema wanamsajili was umri mdogo. Pia wanamtaka "yosso" Kelvin Yondani.
Combination ya Pappy na Mkude sioni ikifanikiwa. Similar type of players.
Hizi timu ni ngumuHaw matajiri huwa hawajifunzi,,wangeachana na hizi timu mbili Bora wadhamini hata mashule,nyumba za watoto yatima etc
Nimesikia tetesi za chama, mkude, mzamiru na mlipili kwenda upande wa pili hivi Kuna ukweli hapo?Hapana tena anaingia kikosi cha kwanza ...huwa naona anamzidi mkude kwa altenative B ya ushambuliaji
Kule utoporoni hali imechafuka,baada ya GSM kuiandikia Yanga barua rasmi kuwa wanasitisha kuisaidia timu kwa mambo ambayo yapo nje ya makataba,kwa kile walichokieleza kuwa baadhi ya viongozi wa Yanga wanalalamika kuwa wanaingiliwa na GSM katika utendaji.