GSM ‘wachomoa betri’ Yanga

Kiongozi yeyote wa Yanga anayeikwamisha club ajiuzuru haraka sana.

Nkwabi alikuwa anamkwamisha Mo na aliachia ngazi mambo yanaenda.

Club lazima iende kwenye mfumo mpya. Awe Msolla au Mwakakebela, please ondoka mapema kabla upepo wa kisurisuri haujakufikia.
 
na hii ndiyo solution yan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GSM wanafanya usajili na kila kitu ,viongozi wa Yanga wao wanataka wapewe hiyo hela hayo mambo wafanye wenyewe ili wapige mshiko ,kitu cha thamani kilichobaki yanga ni ile basi la sportpesa . Mda si mrefu watajiita tena timu ya wananchi na kutembeza bakuli
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la Yanga ni kuwa karibu viongozi wote wa Yanga ni wageni ndani ya Yanga na katika masuala ya uongozi wa klsbu za soka nchini
 
Ni Msola na siyo Msolwa
 
Wamesema wanamsajili was umri mdogo. Pia wanamtaka "yosso" Kelvin Yondani.

Combination ya Pappy na Mkude sioni ikifanikiwa. Similar type of players.
Nyie endeleeni kutibuana GSM na Viongozi wenu huko huko, na vyombo vyenu vya habari, hakuna kiongozi alisema hayo mnayosema.

Simba Nex Level habari zake hazivuji kamwe..!
 
Utopolo fc kazi kweli kweli, pitisheni bakuri tuwachangie msije shuka daraja
 
Hapana tena anaingia kikosi cha kwanza ...huwa naona anamzidi mkude kwa altenative B ya ushambuliaji
Nimesikia tetesi za chama, mkude, mzamiru na mlipili kwenda upande wa pili hivi Kuna ukweli hapo?
 
Reactions: Lee
Umeandika kwa mhemko ni ngumu kudhibitisha habari yako
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…