NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Manji hakununa hisa yanga ndo maana yalimshinda pesa hazina records zinaliwa tu ndo maana na yy alitema ngese.Kwani Manji siyo mtu ....vipi kuhusu GSM...wako wengi mno...ila kwa Sasa mazingira hayaruhusu...
Hata hapo Simba fedha za mo zinaliwa nyingi mno...anasajili kwa fedha nyingi lakini fedha zinazotumika nje ya uwanja ni nyingi pia ndiyo maana zinamuuma Sana...Manji aliitema Yanga for political reasons...watu was mikia ndani ya system walifanya Mambo yao..Manji hakununa hisa yanga ndo maana yalimshinda pesa hazina records zinaliwa tu ndo maana na yy alitema ngese.
Sent using Jamii Forums mobile app
ikiwa taarifa zako za ndani ni kujitoa mpaka kwenye udhamini na uwekezaji basi utaratibu wa kuvunja mkataba ungefuata na pia simba ingeuza tena hizo hisa kwa mwekezaji mwengine.kumbuka said salim bakhresa pia alitangaza nia ya kununua hisa pale simba.Kumbe...unadhani ilikuwa nivhivyo tu...inawezekana Mimi nina taarifa za ndani kuliko wewe maenzangu 'mwanahisa'
Uko sahihi...Ila fahamu tu kwamba Mo is spending a lot of money na faida anayopata sawa na hakuna...wapigaji wengi..kiwango cha timu siyo Cha kutisha ...Kama isingekuwa mambo ya nje ya uwanja pengine ingekuwa ya pili au saa hizi kuongoza kwa tofauti ya pointi mbili au tatu..ikiwa taarifa zako za ndani ni kujitoa mpaka kwenye udhamini na uwekezaji basi utaratibu wa kuvunja mkataba ungefuata na pia simba ingeuza tena hizo hisa kwa mwekezaji mwengine.kumbuka said salim bakhresa pia alitangaza nia ya kununua hisa pale simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba hua wanasajili kuikomoa Yanga kwa kuipunguza nguvu, Km Niyonzima na GadielSimba nayo hovyo tu sasa Tshishimbi wa nini?
Kama GSM ameamua kujitoa kusajili wachezaji kama alivyoandika basi Msola na Mwakalebela ondokeni haraka mnataka turudi kulekule kwa kusajili wachezaji mabomu vingenevyo kaeni na GSM myamalize haya vinginevyo wale wanaolalamika wasakwe waondolewe hatuwezi kamwe kurudi nyuma
Waondoke hao watuachie timu yetu, tutachanga kama kawaida yetu,
Pia sioni la ziada la hao wadhamini wanatujazia wachzaji wa bei mbaya mwishowe watuachie madeni...
Msimu ujao tusajili wa bei chee ambao tunamudu kuwalipa bila shida, hawa wa bei mbaya hawana lolote wanazidiwa kiwango na timu nyingi ndogo tu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nnayo mkuu ml 3.5 natoakama kuna mtu ana hela aje tumuuzie hii team
Sasa mtani mo ni mfanya biashara na amewekeza simba hivi muhindi yule atoe tu pesa bila kuona mafanikio ?alafu umeshindwa kusema pesa zipi hizo zinazotumika kaholela nje ya timu !!.Hata hapo Simba fedha za mo zinaliwa nyingi mno...anasajili kwa fedha nyingi lakini fedha zinazotumika nje ya uwanja ni nyingi pia ndiyo maana zinamuuma Sana...Manji aliitema Yanga for political reasons...watu was mikia ndani ya system walifanya Mambo yao..
Usidanganyike mkuu, hao jamaa wanaleta figisu hawakipati watakacho pale Yanga, aondoke tuMaskini wengine bwana
Kila utapojaribu kumsaidia yeye anahisi kwamba unataka kumuibia hicho hicho kidogo alichonacho
Ujue sisi yanga ndio maana simba wanatuita gongowazi kwa ujinga kama huu
Taarifa hii ikiwa rasmi sijui yule jamaa lialia mzee wa utopolo atasema nini
Kwani kushuka daraja ni ajabu mkuu, ni historia piaUtopolo fc kazi kweli kweli, pitisheni bakuri tuwachangie msije shuka daraja
Usiifananishe Simba na upuuzi wenuKiongozi yeyote wa Yanga anayeikwamisha club ajiuzuru haraka sana.
Nkwabi alikuwa anamkwamisha Mo na aliachia ngazi mambo yanaenda.
Club lazima iende kwenye mfumo mpya. Awe Msolla au Mwakakebela, please ondoka mapema kabla upepo wa kisurisuri haujakufikia.
Yanga ndiyo mwanzilishi wa wazo la kampuni kuendesha timu. Usikinganishe Yanga na vitu vya ovyo ovyo vys wala makombo.Usiifananishe Simba na upuuzi wenu
In principle, kuna ufanano mkubwa kati ya roles za holding na defensive midfielder. Inahitajika akili kubwa ya kocha kuwatofautisha na wachezaji wenyewe wawe flexible sana. Vinginevyo watakuwa wanagongana eneo moja.Japo siukubali huo usajili lakini hao ni wachezaji wawili tofauti.
Tshishimbi anaweza kucheza kama defensive midfielder wakati Mkude ni holding midfielder, sio defensive.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Maskini wengine bwana
Kila utapojaribu kumsaidia yeye anahisi kwamba unataka kumuibia hicho hicho kidogo alichonacho
Ujue sisi yanga ndio maana simba wanatuita gongowazi kwa ujinga kama huu
Taarifa hii ikiwa rasmi sijui yule jamaa lialia mzee wa utopolo atasema nini