NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Manji hakununa hisa yanga ndo maana yalimshinda pesa hazina records zinaliwa tu ndo maana na yy alitema ngese.Kwani Manji siyo mtu ....vipi kuhusu GSM...wako wengi mno...ila kwa Sasa mazingira hayaruhusu...
Hata kama wapo wengi ila sio wa kutoa pesa tu bila utararibu watu wazitafune kwa sasa wapo gsm ambao ndo hao wanachomoa betri,yanga badilikeni acheni ubishi mtakwama kila mwaka kwa kuendekeza uswahili.mpira ni business sio porojo na blabla za kiswazi
Sent using Jamii Forums mobile app