GSM ‘wachomoa betri’ Yanga

Leeni mwana sasa maana mliona kuzaa ndiyo kazi kubwa.
 
Huyo ghalibu ni nani? Aliyewaandikia barua GSM Ana wadhifa gani ndani ya yanga? Ninavyoona kiongozi wengi ndani ya yanga hawajui menejimenti na masuala ya utawala,,,kuhoji ndani ya kikao siyo tatizo..tatizo ni kutoa nje mambo ya ndani ya klabu au kikao...hao akina rupia itabidi wakae pembeni kwa kujiuzulu....vinginevyo watahesabika Kama maadui wa yanga Jambo ambalo ni baya Sana kwao kiusalama wao wenyewe na hata familia zao...huyo magoma ka.a ndiye ninayefahamu ni mtu wa migogoro tangu miaka ya 80.
 
Huyooo n JINI mkuu achaa kabisa
 
Simba inaongoza ligi kwa kuwa inatumia fedha nyingi kuhonga marefa na wachezaji wa timu pinzani...
 
Weka ushahidi mkuu.acha dhana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna Cha dhana hapa ...wanaofanya hawawezi kutaka ushahidi...wataomba yamalizwe kwa wao kupiga magoti...imeshawahi kutokea hi pale baadhi ya viongozi wa mikia walipowaendea wachezaji wawili waandamizi wa Yanga...kumbe Yanga waliweka na wakanaswa..wakaomba yaishe...
 
kwa hiyo wachezaji wa yanga kumbe ndo wanahujumu timu yenu.walichukuliwa hatua gani na ni akina nani ?,weka basi ushahidi hata kiduchu mtani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Magoma kosa lake nini? Yeye si ndiye aliyeujulisha uma Wa wana Yanga kile kibaya kifanywacho na uongozi? Na hayo hayo alosema ndiyo mwelekeo Wa Yale Walosema GSM kwenye barua yao?
 
Ushahidi mmojawapo kwamba huwa mnanunua mechi ni ule Wa Kabwili ambapo kama ingekiwa ni uongo naamini mngemshitaki
Kambwili alijitoa tu kafara ili aonekane mzalendo ndani ya klabu ili awe na uhakika wa kupata namba yanga.ndo maana aliambiwa ataje namba za simu alizopigiwa akasema zimefutika zenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kambwili alijitoa tu kafara ili aonekane mzalendo ndani ya klabu ili awe na uhakika wa kupata namba yanga.ndo maana aliambiwa ataje namba za simu alizopigiwa akasema zimefutika zenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Simba kama brand iliyochafuliwa vibaya na bw kabwili walichukua hatua gani, au ni hiyo tu ya kuulizia hizo namba? Ni wazi walipima kina cha maji wakagundua wanazama mazima ikabidi warudi nyuma
 
Simba kama brand iliyochafuliwa vibaya na bw kabwili walichukua hatua gani, au ni hiyo tu ya kuulizia hizo namba? Ni wazi walipima kina cha maji wakagundua wanazama mazima ikabidi warudi nyuma
Soma kadi za OOO
SHINDANA MPAKA KUFA
 
Simba kama brand iliyochafuliwa vibaya na bw kabwili walichukua hatua gani, au ni hiyo tu ya kuulizia hizo namba? Ni wazi walipima kina cha maji wakagundua wanazama mazima ikabidi warudi nyuma
Maneno matupu ya kambwili bila ushahidi hayakuleta maana ndo maana alimbiwa athibitishe akashindwa.
Body ya simba iliamua kujikita kwenye mambo ya msingi na kuacha kushupalia mambo ambayo hayana tija kwenye timu ndo maana hapakuwa na mpango wa kwenda mahakamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa hiyo wachezaji wa yanga kumbe ndo wanahujumu timu yenu.walichukuliwa hatua gani na ni akina nani ?,weka basi ushahidi hata kiduchu mtani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina haja ya kuweka ushahidi hapa...lakini kwa siku za hivi karibuni inaelekea mambo yalikuwa yanaendelea...ulimsikia dogo Kabwili aliyosema wiki kadhaa zilizopita? Unadhani alikuwa anatania???
 
Sina haja ya kuweka ushahidi hapa...lakini kwa siku za hivi karibuni inaelekea mambo yalikuwa yanaendelea...ulimsikia dogo Kabwili aliyosema wiki kadhaa zilizopita? Unadhani alikuwa anatania???
Sawa mtani ila ubingwa wa malalamiko mtachkua sana ila ubingwa wa ligi kuu ndo mtauskia tu CNN na BBC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha ha ha porojo na uoga tu
 
Sina haja ya kuweka ushahidi hapa...lakini kwa siku za hivi karibuni inaelekea mambo yalikuwa yanaendelea...ulimsikia dogo Kabwili aliyosema wiki kadhaa zilizopita? Unadhani alikuwa anatania???
mmepata kombe la ulalamishi halafu mkiambiwa washabiki wa yanga wanaongoza kwa kutokuwa na furaha mnabisha kazi kuzusha majungu
 
Soka letu bado lina safari ndefu na ngumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…