Abunwasi
JF-Expert Member
- Jun 25, 2009
- 5,486
- 3,473
Leeni mwana sasa maana mliona kuzaa ndiyo kazi kubwa.GSM ANAACHANA NA YANGA KWASABABU YA WAJUMBE HAWA.
Wajumbe watatu wa Kamati ya Utendaji
1. Rodgers Gumbo
2. Richard Shija
3. Salum Rupia
Walikuja na ajenda kwenye kikao cha Kamati ya utendaji kuwa Kampuni ya GSM inafanya usajiri bila kuitaarifu Kamati ya Utendaji. Wajumbe wengi ne walibisha sana juu ya jambo hili na kusema kuwa GSM kafanya hili kwa kuitetea Yanga je kosa lipo wapi. Kamapuni ya GSM iliandikiwa barua isijihusishe na usajiri.
GSM imeandika barua tarehe 24.03.2020 kwenda Yanga na haitajihusisha tena na Mambo ambayo ni nje ya mkataba wa Jezi. Imeachana na mshahara wa Kocha na benchi lote la ufundi.
Huu ndio ukweli.. Maadui wa yanga kwasasa mbali na MAGOMA ni.. Gumbo, Rupia na Shija bila kumsahau Kamgisha. Mambo ya msemaji wetu Bumbuli kukanusha ni uongo. Na baada ya kikao cha kamati bwana Rupia aliongea na muandishi aitwae NAHEKA .. na huyu muandishi ndie alieawafungua wengi macho.
Huu ni ukweli wa asilimia mia moja. Ghalibu kaandika barua na imepokelewa yanga.tarehe 24 mchana. Bodi.ya GSM imemshauri Ghalib kushugulika na jezi tu basi.
Bwana gumbo, shija, rupia na kamgisha hatutachanga tena na tutakufa na nyie