GSM ‘wachomoa betri’ Yanga

GSM ‘wachomoa betri’ Yanga

Simba tuwe na huruma kwa Yanga. Kama hili litatokea usajiri utakwama pale. Huku GSM huku Shishimbi. Hali sio
 
Nimesikia tetesi za chama, mkude, mzamiru na mlipili kwenda upande wa pili hivi Kuna ukweli hapo?
Screenshot_20200325-124930_Chrome.jpg

Labda soma hii kisha jiulize kama Yanga wana hela ya kuvunja mkataba wa Chama
 
Nimesikia tetesi za chama, mkude, mzamiru na mlipili kwenda upande wa pili hivi Kuna ukweli hapo?
Hakimu mzuri mda ila mkude si rahisi kuhama pale na chama labda kwenda kucheza taifa lingine tofauti na hapa kwetu kama ana malengo mazuri na kipaji chake
 
Nimesikia tetesi za chama, mkude, mzamiru na mlipili kwenda upande wa pili hivi Kuna ukweli hapo?
Labda mkude na mzamiru nao ni kiasi Fulani, hao wengine sisi Wa kazi gani? Hatuna uhitaji Wa watu Wa hivyo. Mlipili anaweza kumuweka benchi nani pale kwa namba yake? Chama anaweza muweka benchi nani pale kwa namba yake?
 
Kiongozi yeyote wa Yanga anayeikwamisha club ajiuzuru haraka sana.

Nkwabi alikuwa anamkwamisha Mo na aliachia ngazi mambo yanaenda.

Club lazima iende kwenye mfumo mpya. Awe Msolla au Mwakakebela, please ondoka mapema kabla upepo wa kisurisuri haujakufikia.
Kweli mkuu,hivi Hawa watu uwa wanataka Nini?hii timu watu tumechangishwa viela vyetu toka manji alivyoiacha,leo imejitokeza kampuni ya kutusaidia ndo wanajitokeza wabanwa mavi kuiharibu,ukumbuke hata kipindi manji yupo walikuwepo wajinga Kama Hawa wanajioiga vifua eti wanauwezo wa kuleta wadhamini na wapo wengi wanaoitaka yanga,alivyoondoka manji shida ikawa shidani hatumioni hata mmoja zaidi ya kubuni mabakuli ya kuombea pesa,tusicheke na nyani,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hili linalotaka kutokea,matawi ya yanga tujikusanyeni tukawafunze adabu Hawa jamaa na familia zao na wajiuzuru Mara Moja yanga iwe kwenye kipindi Cha mpito chini ya GSM la sivyo watatuchezea Sana Hawa watu na tusikute mtu ofisi za pale jangwani

Mzee wa Utopolo aliongea haya akatukanwa.aliona mbali
 
Kule utoporoni hali imechafuka,baada ya GSM kuiandikia Yanga barua rasmi kuwa wanasitisha kuisaidia timu kwa mambo ambayo yapo nje ya makataba,kwa kile walichokieleza kuwa baadhi ya viongozi wa Yanga wanalalamika kuwa wanaingiliwa na GSM katika utendaji.

Baadhi ya mambo ambayo GSM wamekua wakiyafanya zaidi na nje ya mkataba ni pamoja na kusajili wachezaji(Niyonzima,Morison, lamin Moro,na Nchimbi).Pia kulipa mishahara,kulipa gharama za kambi,kulipa nauli za ndege pamoja na kutoa bonasi kwa kila mechi ambazo timu ilishinda ikiwemo ile Mil.200 waliyoahidiwa dhidi ya Simba.

Wakati huo huo kuna taarifa za chini chini kuwa Papii Shishimbi amesaini mkataba wa awali na Simba na ni swala mda tu atatambulishwa rasimi pale Msimbazi.
Inaelekea uongozi Yanga chini ya Msolwa na Mwakalebela unashida kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka ushahidi wa barua imiyoandikwa na GSM Unless ww Ni mropokaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wakopwe alafu pesa zao watapewa kidogokidogo kwenye tigo pesa ila kwa pesa za mkupuo kule upande wa pili hawana

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lenu nyie mashabiki oya oya hukariri Mambo....hahahaha...ni Nani amekwambia kwamba kule Simba wana pesa? Hakuna kitu Kama hicho...kule Kuna mtu anaitwa Mo ndiye mwenye pesa na siyo Simba...huko Yanga pia Kuna watu wa Aina ya Mo ambao wanaweza kujitokeza...wakati wa Manji Kuna mashabiki wanaokariri nao walikuwa wanadhani Yanga ina pesa...alipoondoka Yanga ikabaki Kama ilivyokuwa awali...Manji aliondolewa Yanga baada ya issue yake kugeuzwa kuwa ya kisiasa...Simba inabidi mkae chini na mtafakari after Mo what next for Simba...Mo hawezi kubaki milele Simba ataondoka tu...kwa analysts wazuri Mo hana miaka minne zaidi Simba....kwa hiyo acha kudhani kuwa Simba ina fedha...mwenye pesa ni Mo na siyo Simba...hivi uliwahi kujiuliza account ya Simba ina shilingi ngapi huko benki na kiasi gani wamelipa TRA Kama mapato?...Unafahamu kilichoipata AC Milan kule Italia? Ile klabu ilikuwa ya tajiri S. Berluscon ambaye aliwshi kuwa Waziri Mkuu wa Italia...baadaye alishitakiwa na hata kufungwa kwa Mambo kibao yakiwemo ya kukwepa Kodi Kama sijakosea...Sasa sijui hiyo AC Milan iko nafasi ya ngapi keenye ligi ...ninachofahamu sidhani Kama. hata kwenye nane Bora imo...
 
Wamesema wanamsajili was umri mdogo. Pia wanamtaka "yosso" Kelvin Yondani.

Combination ya Pappy na Mkude sioni ikifanikiwa. Similar type of players.
Japo siukubali huo usajili lakini hao ni wachezaji wawili tofauti.
Tshishimbi anaweza kucheza kama defensive midfielder wakati Mkude ni holding midfielder, sio defensive.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lenu nyie mashabiki oya oya hukariri Mambo....hahahaha...ni Nani amekwambia kwamba kule Simba wana pesa? Hakuna kitu Kama hicho...kule Kuna mtu anaitwa Mo ndiye mwenye pesa na siyo Simba...huko Yanga pia Kuna watu wa Aina ya Mo ambao wanaweza kujitokeza...wakati wa Manji Kuna mashabiki wanaokariri nao walikuwa wanadhani Yanga ina pesa...alipoondoka Yanga ikabaki Kama ilivyokuwa awali...Manji aliondolewa Yanga baada ya issue yake kugeuzwa kuwa ya kisiasa...Simba inabidi mkae chini na mtafakari after Mo what next for Simba...Mo hawezi kubaki milele Simba ataondoka tu...kwa analysts wazuri Mo hana miaka minne zaidi Simba....kwa hiyo acha kudhani kuwa Simba ina fedha...mwenye pesa ni Mo na siyo Simba...hivi uliwahi kujiuliza account ya Simba ina shilingi ngapi huko benki na kiasi gani wamelipa TRA Kama mapato?...Unafahamu kilichoipata AC Milan kule Italia? Ile klabu ilikuwa ya tajiri S. Berluscon ambaye aliwshi kuwa Waziri Mkuu wa Italia...baadaye alishitakiwa na hata kufungwa kwa Mambo kibao yakiwemo ya kukwepa Kodi Kama sijakosea...Sasa sijui hiyo AC Milan iko nafasi ya ngapi keenye ligi ...ninachofahamu sidhani Kama. hata kwenye nane Bora imo...
Unaposema account ya Simba ina kiasi gani ukumbuke kuwa Simba ni kampuni ambayo 49% ya shares belong to Mo. Usitofautishe Mo na Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom