GSM ‘wachomoa betri’ Yanga

GSM ‘wachomoa betri’ Yanga

Wachache sana watakuelewa
Tatizo lenu nyie mashabiki oya oya hukariri Mambo....hahahaha...ni Nani amekwambia kwamba kule Simba wana pesa? Hakuna kitu Kama hicho...kule Kuna mtu anaitwa Mo ndiye mwenye pesa na siyo Simba...huko Yanga pia Kuna watu wa Aina ya Mo ambao wanaweza kujitokeza...wakati wa Manji Kuna mashabiki wanaokariri nao walikuwa wanadhani Yanga ina pesa...alipoondoka Yanga ikabaki Kama ilivyokuwa awali...Manji aliondolewa Yanga baada ya issue yake kugeuzwa kuwa ya kisiasa...Simba inabidi mkae chini na mtafakari after Mo what next for Simba...Mo hawezi kubaki milele Simba ataondoka tu...kwa analysts wazuri Mo hana miaka minne zaidi Simba....kwa hiyo acha kudhani kuwa Simba ina fedha...mwenye pesa ni Mo na siyo Simba...hivi uliwahi kujiuliza account ya Simba ina shilingi ngapi huko benki na kiasi gani wamelipa TRA Kama mapato?...Unafahamu kilichoipata AC Milan kule Italia? Ile klabu ilikuwa ya tajiri S. Berluscon ambaye aliwshi kuwa Waziri Mkuu wa Italia...baadaye alishitakiwa na hata kufungwa kwa Mambo kibao yakiwemo ya kukwepa Kodi Kama sijakosea...Sasa sijui hiyo AC Milan iko nafasi ya ngapi keenye ligi ...ninachofahamu sidhani Kama. hata kwenye nane Bora imo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka ushahidi wa barua imiyoandikwa na GSM Unless ww Ni mropokaji

Sent using Jamii Forums mobile app
20200325_115458988310.jpg
 
Attachments

  • 20200325_1154481449810.jpg
    20200325_1154481449810.jpg
    26.2 KB · Views: 2
Kule utoporoni hali imechafuka,baada ya GSM kuiandikia Yanga barua rasmi kuwa wanasitisha kuisaidia timu kwa mambo ambayo yapo nje ya makataba,kwa kile walichokieleza kuwa baadhi ya viongozi wa Yanga wanalalamika kuwa wanaingiliwa na GSM katika utendaji.

Baadhi ya mambo ambayo GSM wamekua wakiyafanya zaidi na nje ya mkataba ni pamoja na kusajili wachezaji(Niyonzima,Morison, lamin Moro,na Nchimbi).Pia kulipa mishahara,kulipa gharama za kambi,kulipa nauli za ndege pamoja na kutoa bonasi kwa kila mechi ambazo timu ilishinda ikiwemo ile Mil.200 waliyoahidiwa dhidi ya Simba.

Wakati huo huo kuna taarifa za chini chini kuwa Papii Shishimbi amesaini mkataba wa awali na Simba na ni swala mda tu atatambulishwa rasimi pale Msimbazi.
Inaelekea uongozi Yanga chini ya Msolwa na Mwakalebela unashida kubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ambayo yapo ndani ya mkataba ni yepi?
 
Hawa GSM si juzi tu wamemuongezea mkataba Morison!, Sasa wakijitoa si watauchana huo mkataba wa usajili wa Morison kisha anasepa zake Msimbazi. Dah, Msola ni heri ujiengue mapema vinginevyo Yanga itashuka daraja msimu ujao.
 
hawa viongozi ni viongozi wa hovyo tokea yanga ianzishe....ni wapigaji, wezi hawa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaposema account ya Simba ina kiasi gani ukumbuke kuwa Simba ni kampuni ambayo 49% ya shares belong to Mo. Usitofautishe Mo na Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ndugu yangu Sasa hiyo kampuni kwenye akaunti yake huko benki ina kiasi gani na imelipa kiasi gani huko TRA Kama Kodi ya mapato??
 
Hawa GSM si juzi tu wamemuongezea mkataba Morison!, Sasa wakijitoa si watauchana huo mkataba wa usajili wa Morison kisha anasepa zake Msimbazi. Dah, Msola ni heri ujiengue mapema vinginevyo Yanga itashuka daraja msimu ujao.
GSM hawawezi kujitoa ila Kuna Jambo litatokea kwa baadhi ya viongozi...
 
Yanga ina viongozi wa hovyo kweli. Yani wanalilia haki ya kupiga picha na mchezaji anayesajiliwa wakati fedha hawajatoa wao na uwezo wa kusajili hawana. Kwa hiyo wanataka ule utaratibu wa michango ya bakuli uendelee.
 
Bora Moo anajulikana ni muwekezaji wa simba .
JE GSM ni nani pale yangaa?
Tatizo lenu nyie mashabiki oya oya hukariri Mambo....hahahaha...ni Nani amekwambia kwamba kule Simba wana pesa? Hakuna kitu Kama hicho...kule Kuna mtu anaitwa Mo ndiye mwenye pesa na siyo Simba...huko Yanga pia Kuna watu wa Aina ya Mo ambao wanaweza kujitokeza...wakati wa Manji Kuna mashabiki wanaokariri nao walikuwa wanadhani Yanga ina pesa...alipoondoka Yanga ikabaki Kama ilivyokuwa awali...Manji aliondolewa Yanga baada ya issue yake kugeuzwa kuwa ya kisiasa...Simba inabidi mkae chini na mtafakari after Mo what next for Simba...Mo hawezi kubaki milele Simba ataondoka tu...kwa analysts wazuri Mo hana miaka minne zaidi Simba....kwa hiyo acha kudhani kuwa Simba ina fedha...mwenye pesa ni Mo na siyo Simba...hivi uliwahi kujiuliza account ya Simba ina shilingi ngapi huko benki na kiasi gani wamelipa TRA Kama mapato?...Unafahamu kilichoipata AC Milan kule Italia? Ile klabu ilikuwa ya tajiri S. Berluscon ambaye aliwshi kuwa Waziri Mkuu wa Italia...baadaye alishitakiwa na hata kufungwa kwa Mambo kibao yakiwemo ya kukwepa Kodi Kama sijakosea...Sasa sijui hiyo AC Milan iko nafasi ya ngapi keenye ligi ...ninachofahamu sidhani Kama. hata kwenye nane Bora imo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga ina viongozi wa hovyo kweli. Yani wanalilia haki ya kupiga picha na mchezaji anayesajiliwa wakati fedha hawajatoa wao na uwezo wa kusajili hawana. Kwa hiyo wanataka ule utaratibu wa michango ya bakuli uendelee.
Wanalilia kupiga picha?? Siamini kuwa ni hivyo...ila kwa haraka haraka naweza kusema kuwa pande zote Zina makosa...pamoja na kutoa fedha GSM wawashiirikishe pia kiongozi katika Mambo ya msingi ...wasifanye Mambo as if hakuna uongozi...halafu kiongozi nao waache utoto..waache kulalamika kusikohusika...Kama lipo tatizo la coordination waitishe kikao Kati ya GSM na uongozi kuweka Mambo sawa...vinginevyo wataondolewa wao viongozi muda siyo mrefu ujao...The way I see it Katibu hajui administration na management...nadhani amepata nafasi hiyo kiushikaji na kwa majungu..
 
Bora Moo anajulikana ni muwekezaji wa simba .
JE GSM ni nani pale yangaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unafikiri huyo GSM ni nani? Mimi nadhani huyo GSM ni Sponsor...Sasa huyo Mo kule Simba ni mwekezaji kweli? Au ni Sponsor? Au ni owner yaani mmilki? Au ni vyote? Hivi alimteua Makonda akiwa ni mwekezaji au mmiliki au sponsor?
 
moo ni muwekezaji na kila mtu anajua.
HATOI msaada kama GSM..
mnawanyosha sana GSM alafu jezi hamnunui [emoji16][emoji16]
Wewe unafikiri huyo GSM ni nani? Mimi nadhani huyo GSM ni Sponsor...Sasa huyo Mo kule Simba ni mwekezaji kweli? Au ni Sponsor? Au ni owner yaani mmilki? Au ni vyote? Hivi alimteua Makonda akiwa ni mwekezaji au mmiliki au sponsor?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ishu kubwa ni Yanga kuendeshwa kiswahili, viongozi hawana vision, na ndio maana watu kama GSM wana-take advantage kufanya wanachojisikia nje ya utaratibu sahihi wa taasisi.

Utoaji wa pesa usioweza kukaguliwa unaruhusu watu kutumia njia hiyo kusafisaha pesa chafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameiba kiasi gani??
jiulize maswali machache tu....kama GSM wanalipa mishahara, usajili, viwanja, vifaa vya mazoez na takataka zote mpaka tiketi za viongozi...na kumbuka huu ni mwezi wa 3....Je pesa ya sportpesa, taifa gas, Azam TV, na gate collection nk...zinafanya nn...

Kumbuka sportpesa pekee watatoa 1 B kwa mwaka!

Hii hali ya GSM kufanya mambo yao wenyewe nje ya taasisi, na wao kutajwa mda wote kana kwamba wao ni wadhamini pekee kutapelekea kufukuza wadhamini wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom