njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Mo kusema Simba inajiendesha kwa hasara makanjanja ya media na wapuuzi wako naye bize kwelikweli, ila injinia wenu aliposema hivyo last year mkakausha kimya.
Mo Dewji hii dhambi aliyoifanya kuipa mafanikio Simba kwa miaka minne na kuweza kuingiza teams 4 kwenye michezo ya Afrika kuna watu hawataka wamsamehe kamwe.
Akisimama mshale akikaa mshale, akikaa kimya watasema akizungumza watasema, dah MO usirudie tena kuipa Simba mafanikio wenzako hawapendi hivyo.
Majitu mengine unasikia jezi imejaa matangazo ya Mo kama jezi za Sudan makorokoro halafu kesho anakuja na milioni 3 anakubembeleza uweke logo ya kampuni yake ya utapeli kwenye bega la kushoto uongeze korokoro jingine.