Hivi Simba wana uwanja! Nilidhani ni wa mo...GSM ni akili kubwa wanajua kabisa kua haiwezekani. Halafu Yanga wanachekelea badala ya kuwaomba hiyo pesa waanze kuwekeza kwenye ujenzi wa uwanja kule kigamboni wao wanakenua tu kwa ahadi za ajabu ajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule wa bao la mkono si yupo hakuna tatizo kwa Vyura fcDah....itabidi serikali inunue viti vingine uwanjani...Kuna dalili mbaya kabisa...kadri mikia wanavyojiaminisha na ushindi hewa ndivyo hatari ya kung'olewa viti inavyoongezeka...
Sema wananchi wa jangwaniUzi umejaa mambumbumbu fc
Hakika Yanga ni timu ya wananchi
GSM oyeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo milion 200 ni ka' picha ya samaki, utaishia kuiona tu lakini haina msaada wowote pale utapopata shida ya mbogaGSM ni akili kubwa wanajua kabisa kua haiwezekani. Halafu Yanga wanachekelea badala ya kuwaomba hiyo pesa waanze kuwekeza kwenye ujenzi wa uwanja kule kigamboni wao wanakenua tu kwa ahadi za ajabu ajabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nashauri tff iwape kibali yanga siku hiyo wakae magoli kipa watatu pale then tuna penetrate mishindo mitatu wakiwa wote hapohapoKuifunga simba wanaweza wakaifunga lakini kushinda mechi dhidi ya Simba ni ngumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Hawa MITULINGA FC kufungwa na Simba ni sawa na mauti na Binadamu hayaepukiki.hata kama wakiahidiwa Bilioni 3.
Duh aisee tunatofautiana akili humu mpaka sio vizur yaan huyu nae eti anaongelea mpira hapa. Utaratibu wa wapi unaruhusu makipa watatu?Mi nashauri tff iwape kibali yanga siku hiyo wakae magoli kipa watatu pale then tuna penetrate mishindo mitatu wakiwa wote hapohapo
It's Scars
Milioni 200 mtagawana ngapi ngapi 🐸
Ameshaacha ule mchezo, amejirudi kwa ufupihuyu muamuzi ndie aliefanya mashabiki wa simba wakang'oa viti. pumbavu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Walipe kwanza madai ya wachezaji kama akina Dante na wengine halagu ndo waweke dau naamini watabarikiwaKampuni ya GSM inayodhamini Yanga imeahidi mil 200 kwa wachezaji wa Yanga iwapo watafanikiwa kuifunga Simba hapo tar 8.
Mwamuzi wa mechi hiyo ni Martin Sanya aliyewahi kuruhusu goli la Tambwe la mkono dhidi ya Simba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani siku ile mechi ya yanga na lipuli refa alitumia utaratibu wawapi kuamua ile goal corner?Duh aisee tunatofautiana akili humu mpaka sio vizur yaan huyu nae eti anaongelea mpira hapa. Utaratibu wa wapi unaruhusu makipa watatu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dante anatudai sh.ngapi? Yanga haidaiwi na mtuWalipe kwanza madai ya wachezaji kama akina Dante na wengine halagu ndo waweke dau naamini watabarikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
lopolopo
Hata waahidi billioni tutawatandika tu wameshatuzoea kupita kiasi.
Nasema lazima tuwatandike tena tukiwa tumewashikilia kama watoto wadogo.
cc Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui uko kwenye hali gan kwa sasa?Hata waahidi billioni tutawatandika tu wameshatuzoea kupita kiasi.
Nasema lazima tuwatandike tena tukiwa tumewashikilia kama watoto wadogo.
cc Shadeeya
Sent using Jamii Forums mobile app