GSM yaahidi mil 200,iwapo Yanga watafunga Simba

GSM yaahidi mil 200,iwapo Yanga watafunga Simba

Dah....itabidi serikali inunue viti vingine uwanjani...Kuna dalili mbaya kabisa...kadri mikia wanavyojiaminisha na ushindi hewa ndivyo hatari ya kung'olewa viti inavyoongezeka...
Yule wa bao la mkono si yupo hakuna tatizo kwa Vyura fc
 
Kuweni makini na GSM, april fool ndo hii imekaribia

It's Scars
 
GSM ni akili kubwa wanajua kabisa kua haiwezekani. Halafu Yanga wanachekelea badala ya kuwaomba hiyo pesa waanze kuwekeza kwenye ujenzi wa uwanja kule kigamboni wao wanakenua tu kwa ahadi za ajabu ajabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo milion 200 ni ka' picha ya samaki, utaishia kuiona tu lakini haina msaada wowote pale utapopata shida ya mboga

It's Scars
 
Kuifunga simba wanaweza wakaifunga lakini kushinda mechi dhidi ya Simba ni ngumu kuliko ngamia kupenya kwenye tundu la sindano.
Hawa MITULINGA FC kufungwa na Simba ni sawa na mauti na Binadamu hayaepukiki.hata kama wakiahidiwa Bilioni 3.
Mi nashauri tff iwape kibali yanga siku hiyo wakae magoli kipa watatu pale then tuna penetrate mishindo mitatu wakiwa wote hapohapo

It's Scars
 
Mi nashauri tff iwape kibali yanga siku hiyo wakae magoli kipa watatu pale then tuna penetrate mishindo mitatu wakiwa wote hapohapo

It's Scars
Duh aisee tunatofautiana akili humu mpaka sio vizur yaan huyu nae eti anaongelea mpira hapa. Utaratibu wa wapi unaruhusu makipa watatu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kampuni ya GSM inayodhamini Yanga imeahidi mil 200 kwa wachezaji wa Yanga iwapo watafanikiwa kuifunga Simba hapo tar 8.

Mwamuzi wa mechi hiyo ni Martin Sanya aliyewahi kuruhusu goli la Tambwe la mkono dhidi ya Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
Walipe kwanza madai ya wachezaji kama akina Dante na wengine halagu ndo waweke dau naamini watabarikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh aisee tunatofautiana akili humu mpaka sio vizur yaan huyu nae eti anaongelea mpira hapa. Utaratibu wa wapi unaruhusu makipa watatu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani siku ile mechi ya yanga na lipuli refa alitumia utaratibu wawapi kuamua ile goal corner?
 
Back
Top Bottom