Bukali
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,264
- 835
Moyo wako umepumua eti,si useme tu kuwa GSM maskini hata wewe unamzidi.Hela hana na bora Yanga wamwombe Fred Vunja bei aje awe mdhamini wa timu. Sio lazima wote wawe wadhamini wa Ligi letu NBC anatosha, wengine wawe mashabiki tu. Hivi utofauti wa GSM na Fred Vunja Bei ni nn? Wote wanamaduka ya jersey na wote wanadhamini timu. Ila wote hao wanatofautiana sana na Mo Dewj kwanza Mo tirionea,Fred V ni bilionea na jiesiem ni elfumia