GSM yatangaza kujiondoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara

GSM yatangaza kujiondoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara

Kwaiyo wewe mbulula unafikiri nani anaumia? Gsm hana cha kupoteza ela yake ataielekeza kwingine, tff,bodi ya ligi na vilabu vingine ambavyo avikuwa na uwezo kujiendesha ndo wahanga wakubwa wa hili jambo, unapokenua kwamba mmeshinda ni ujinga wa kiwango cha lami
Kwahiyo <> Kwaiyo
GSM <> Gsm
Hela <> ela
TFF <> tff
Havikuwa <> avikuwa
Ndiyo <> ndo

Wewe ni mjinga zaidi...
 
Wewe jamaa fala sana,milioni 10 kwa timu ni milioni 200 tu GSM afirisike kwa sababu ya m 200!Yanga wala atukutaka ule udhamini maana ulikua unampunguzia nguvu huku sasa ndio mjiandae maana msidhanie na sisi atutaki yale magoli ya offside na penalty za mchongo,tunaanza na sisi

View attachment 2111465
huyo mtu wenu hata kumi hajatoa kazi mnayo

DED91300-F793-4902-A58A-A4C59A85B00F.jpeg
 
Wanainunua Yanga.
Wanachama wa Yanga wakifika laki 3 nchi nzima, hiyo ni bilioni 10 cash.
Zoezi linaenda vizuri, na Yanga inanunulika sasa kwanini wahangaike na watu vichwa maji?
pesa hana, kwenye udhamini wa ligi hajatoa hata senti 🚮🚮🚮🚮

90B75E32-9262-411D-A091-3057437426E7.jpeg
 
Na bado kuna vitoga vingine vime miss kwenye picha

Vyote vinabembea kwenye msuli wa mwanamke mmoja
Babra arakomboa Sana soka letu dhini viongozi wachumia matumbo wa tff, natamani angegombania uenyekiti wa TFF naimani tungeshashiriki hata afcon mbili
 
Kampuni ya GSM imetangaza kujiondoa udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania NBC Premier League ikielezwa sababu ni TFF na Bodi ya Ligi Kuu kutotimiza makubaliano ya kimkataba.

NB: Isiishie kujiondoa udhamini tu.. Nadhani mamlaka husika ianze mara moja kuchunguza kuhusu huu mkataba kati ya GSM na TFF na Bodi ya Ligi Kuu

Lazima kuna jambo lisilo la kawaida ambalo huenda ingeathiri afya ya michezo kwa ujumla.

Asante TFF pamoja na Bodi ya Ligi kuitema Ndoano..!
ndo shida ya ussm hivi walijua wanapeleka mswada kwahali ya dharula bungeni ili upitishwe
 
Unajua haka ka mchezo kalianza kama utani, Yanga hawavai logo yenye rangi nyekundu, TFF wakaona poa tu Sasa upande wa pili wakaamua kumwaga mboga na ugali kwa pamoja hawavai jezi yenye logo ya GSM. Unapolea maradhi mwisho wake huwa ni mbaya. TFF simamieni Sheria bila kujali timu kubwa Wala ndogo
 
wewe team ndogo ndio zinaumia.

Umemsikia M/kiti wa Bodi ya Ligi Kuu akihojiwa na Wasafi FM, Steven Mguto.

Anasema 'Toka kusaini mkataba ni miezi mitatu sasa vilabu havijalipwa chochote na wanasubiri wanasheria wao kulipitia hilo.'

Sasa wee Punguani wa Akili unakuja hapa na kubana pua team ndogo zinaumia.. Yaani Uumie Kitu Ambacho Hukupata...?!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Takwa moja wapo lilikua kuuziwa kombe la NBC, lakini baada ya kuanza kushona sare, huku mnyama akija kwa kasi wakaona isiwe tabu ngoja waombe hela zao
Mashabiki ya nyau hayanaga akili, yaani sare 3 ndiyo kupoteza Dora huko?
 
Udhamini ulikuuwa mzuri..GSM alikosea Sana kuwaweka akina manara eti ndio wasemaji siku Ile na vijembe na Tambo..udhamini ukaonekana lengo lake si manufaa ya mpira Bali kukomoa upande Fulani..Hawa matajiri wanachezea mpira watakavyo ndio maana soka aliendelei...

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwaiyo wewe mbulula unafikiri nani anaumia? Gsm hana cha kupoteza ela yake ataielekeza kwingine, tff,bodi ya ligi na vilabu vingine ambavyo avikuwa na uwezo kujiendesha ndo wahanga wakubwa wa hili jambo, unapokenua kwamba mmeshinda ni ujinga wa kiwango cha lami
Hapa kinachoumia zaidi ni soka ya Tanzania kwani timu ndogo zinasaidia kulea vipaji vya vijana ambao ndio tegemeo kwa Taifa Stars. Yanga na Simba na wengine wenye uwezo watasajiri mapro kutoka popote ambao wanawasaidia wao na si timu ya Taifa Stars.
 
Back
Top Bottom