samakiurembo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 445
- 689
Wanaoumia ni vilabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ona kumbe hata hujui kuwa Patrice Motsepe ambaye ndio raisi wa CAF alitoa mualiko kwa CEO babra?Onyesha invitation hapa,makolo mjiandae hasa na huku kujitoa GSM,mwanzo atukutaka maana zingekua kelele za mdhamini mwenza lkn hizi propaganda zenu huku nyie match 11 penalty 8 magoli ya offside 4 now tunaingia vitani wote,kadu juzi kajiapiza watafanya vyovyote kolo awe bingwa ndio tutaona sasa
Mkuu, Ligi Kuu haijanza msimu huu, ukisema hivyo maana yake unataka kusema kuwa udhamini wa GSM ndo unaondoa hayo yote uliyoyataja?Walikuwa wanajiendesha ama Wana endeshwa unasahau kuna timu zilikuwa zinapewa nauli na timu nyingine na wanakuja pigwa goli 8
Unasahau kuna timu zilikuwa hazifiki kabisa uwanjani
Kulikuwa na mantiki gani GSM ambao ni wadhamini wa yanga kuweka background nyekundu kwenye press yao wakati yanga waligomea kuvaa nembo ya NBC nyekundu kwenye jersy yao?Kupitia mkutano na wanahabari uliofanyika jioni ya leo, kampuni ya GSM imetangaza kujitoa katika udhamini wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania BaraView attachment 2111438
So Kwa Lugha Ya Kisheria ni Kwamba Kuna Vipengele Kwenye Ile Contract Haviwezi Kuwa Executed Kwa Jiesiemu??Umesoma hiyo barua ya kujiondoa kwao?? Nakushauri uisome, ila kwa ufupi wamesema wamejiondoa kwakua baadhi ya vipengele walivyoafikiana havitekelezwi na upande wa pili.
Haikuwa ya Yanga, ila ya GSM. Mpunga hautarudi maana ameshaharibu jezi za madogoBinafsi nimefurahi sana,ile bln 2 ije kuongeza nguvu Yanga
Unanikoti mara mbili mbili huna uhakika na unachojibu.
Umejibu vichambo tu kama malaya wa buza..!
Kaa hapa uongee na matahira menzio am done..!
Lyatonga Alisema Kama Huwezi Kuuza Jumla JumlaKwahiyo kafanya biashara miezi michache ameona haina Faida kaamua kufunga (Hajapata hasara)
SahihiUmesoma hiyo barua ya kujiondoa kwao?? Nakushauri uisome, ila kwa ufupi wamesema wamejiondoa kwakua baadhi ya vipengele walivyoafikiana havitekelezwi na upande wa pili.
Mkuu mbona kama uchonganishi huu? Yaani huyo dada ndio kawazidi wote hapo juu na kusababisha GSM akimbie?Ujumbe katika pichaView attachment 2111500
Bado unahitaji chunguzi tu hii nchi,chunguzi ngapi ambazo zilisha kuja na majibu na matokeo ukayaona?Kampuni ya GSM imetangaza kujiondoa udhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania NBC Premier League ikielezwa sababu ni TFF na Bodi ya Ligi Kuu kutotimiza makubaliano ya kimkataba.
NB: Isiishie kujiondoa udhamini tu.. Nadhani mamlaka husika ianze mara moja kuchunguza kuhusu huu mkataba kati ya GSM na TFF na Bodi ya Ligi Kuu
Lazima kuna jambo lisilo la kawaida ambalo huenda ingeathiri afya ya michezo kwa ujumla.
Asante TFF pamoja na Bodi ya Ligi kuitema Ndoano..!
Kuna yule alituletea mchele mbovu miaka ile yeye yuko sawa.Yaani mtu anakwepa kulipa kodi bandarini halafu anadhamini ligi kwa fedha haramu.
What a shame , a shame a shame.
Kumbuka wanaoenda kuumia nitimu zachini,kwahiyo pesa ikipunvua unajua vilabu vinakuwa na hali gani.Tuliwaambia huu ujanja hauwezi kudumu..Naona wenyewe baada ya kupima maji kwa kidole wameamua kutema Ndoano.
Ni GSMChanzo cha habari