SABABU ZA JIESIEM KUONDOLEWA KWENYE UDHAMINI WA LIGI KUU TANZANIA.
1. CAF.
Shirikisho la soka Afrika limeiandikia barua TFF kuwaonya kwa kushiriki uhuni kwenye mpira wa miguu. Hii inatokana na namna mwenendo wenyewe wa ligi unavyoenda, yaani timu yenye ushindani na Yanga inafanyiwa figisu nyingi sana nje ya uwanja.
Na baada ya JIESIEM hawa kujitoa tayari Yanga imeanza kusuasua kwani jiesiem anakosa nguvu ya moja kwa moja kwa timu ndogo. Ama niweke wazi ni kuwa katika 2.5B,JIESIEM walibakia na 500M ili kuzipa ruzuku timu ndogo pale zinapokutana na Simba.
2. 500M zinaelekea kuisha na ndio kwanza round ya 2 bado
Hapa nampa kongole sana jiesiem kwani ameng'amua mapema kuwa akiendelea kutoa zile 10M ili simba ifungwe au Yanga ishinde basi atafilisika, hivyo amebaki ma change ya 17.8M