Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Hawa wanahusika na mipango mingi miovu ya kubagaza nchi hii na kubananga. Wanahusika pakubwa na uporaji na ununuzi wa maeneo ya Umma ambayo miaka ya nyuma walikataliwa kuuziwa.
Hawa mnajua wamenunua eneo kubwa la Kurasini mpaka shule na ofisi za Uhamiaji Kurasini? Mnajua kuwa kuna maeneo lukuki wameuziwa ambayo yalikuwa ni ya umma?
Hawa wapo tayari kufanya lolote Samia aendelee kuwa Rais. Na hawa wapo nyuma ya projects nyingi sana za kihalifu kama zamani ilivyokuwa Home Shopping Centre.
Sasa hili naomba msilihusishe na Yanga. Maana kwa sisi baniani mbaya kiatu chake dawa. Ndugu wa Tanzania GSM imejifichia kwenye Team ya Yanga ikijua kabisa kwa kufanya hivyo kila itakapoguswa wanayanga wataamka kuitetea. Sasa mimi ni Mwanayanga na mwana CCM lakini naona ni wakati wa kuweka Utanganyika mbele.
Hii nchi inabagazwa sana na watu wanachukuliwa poa. Kama mazezeta tu. Na hizi teams zinatumika sana kupumbaza watanzania. Ninatamani zianguke kabisa na tuanze upya. Ndo maana utashangaa na ukongwe wake wote mpaka sasa hazina viwanja.
GSM anahusika sana katika mengi ya hovyo yanayotokea nchini. Na malipo yake Samia anawalipa kwa namna ya viwanja na kutowabana kwenye kodi. Hili hata yeye alikiri kabisa. Hakuna Kampuni ambayo ni jeuri kwa sasa Tanzania kama GSM. Serikali imewekwa mfukoni..
Na huu uzi unaweza kuta haukai sana utaondolewa. Ujue nguvu ya GSM huko nchini kwenu Tanzania.