GTA VI itakua balaa! Hizi Graphics sio poa!

GTA VI itakua balaa! Hizi Graphics sio poa!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
26,961
Reaction score
77,890
Nadhani muda wa kuwekeza kununua PS5 umefika.

FB_IMG_1735473520927.jpg
FB_IMG_1735473799856.jpg

Huyu Lucia atakua my fav character.
 
Duh hakika nimecheka kwa kweli ebu fanya mpango utafute demu akupoze machungu maana unapoelekea huko utakuwa ukiona sabuni tu inaoshewa vyombo wewe ni mbio bafuni.
Hahahahashahhaaa ngoja tuone 2025
 
Back
Top Bottom