Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
Haiwezekani
Kuna haja kuwa na Uzi wa games deals, sometime unapata bure hizi games for some time.Hivi GTA V ni free ninaweza ipata kwa smartphone nikaicheza tu vizuri?
Hivi mkuu mfumo wa cloud game upoje hasa kwenye simu za android, ni kweli unaweza kucheza game za pc?Kuna haja kuwa na Uzi wa games deals, sometime unapata bure hizi games for some time.
Kwa simu unaweza cheza ukiwa na simu ya karibuni yenye Snapdragon ama Exynos mpya, kuna Emulators ambazo zinaweza cheza pc games.
Ila hilo game litataka nafasi kama GB 100 so simu minimum iwe na storage ya 256GB na angalau GB 100 free.
Unaweza ila cloud games inataka server iwe karibu, so service husika ikiwa na server Kenya ama South inakuwa rahisi speed kuwa nzuri, ila server ikiwa Marekani huko hata ukiwa na fiber tegemea ping 150+ms hutapata experience nzuri.Hivi mkuu mfumo wa cloud game upoje hasa kwenye simu za android, ni kweli unaweza kucheza game za pc?
Tuwe wavumilivu mkuuNjema au mbaya mkuu?, sababu official release ya mwanzo ilisema ni ndani ya mwaka huu sasa wameamua kutepelekea mbele tusubiri tena mpaka mwakani
GTA VI gari ziende sheli sasa tushachoka kuendesha gari zisizoisha mafutaYeah GTA VI litacheza kwenye ps 5 na xbox series X. Mostly of upcoming games nyingi washaanza kuisolate ps4
Uhalisia uongezeke siyo!!GTA VI gari ziende sheli sasa tushachoka kuendesha gari zisizoisha mafuta
Kabisa mkuu sheli zipo mule kama mapambo tu pia waweke gari za umeme na charging stations ziwepoUhalisia uongezeke siyo!!
GTA IV sijacheza sanaMbona kwenye GTA IV, gari huwa zinaenda sheli kuweka mafuta?
Yes na kula maana jamaa hawali kabisa na wana survive tuIkiwezekana warudishie baadhi ya features za kweny gta iv kama kuingia kila nyumba, kuokota vitu, kununua chakula, npc kutumia ATM na Petrol station