Guardiola alimsajili Akanji dakika za mwisho kuficha aibu ya ubaguzi wa rangi

Guardiola alimsajili Akanji dakika za mwisho kuficha aibu ya ubaguzi wa rangi

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Huyu Kocha na Meneja wa Manchester city ni mbaguzi sana kwa wachezaji waafrika. Mtasema Riyad Mahrez muafrika ndiyo katoka Africa Algeria lakini siyo mwafrika.

Guardiola ni Kocha mzuri sana na anakipaji cha ukocha cha aina yake. Tatizo lake ni mbaguzi.

Kawatimua waafrika Fernandinho, Jesus na Sterling kwa makusud tu Ili timu iwe na weupe tupu. Kambakisha Ake huyu dogo wa Uholanzi kwasababu ni mwafrika koko.

Samuel Etoo na Yahya Toure walishawahi kumlalamikia sana Pep kwa hii tabia yake ya ubaguzi. Na siyo kina Etoo tu bali watu wengi.

Kwa aibu akaamua kumsajili dakika za mwisho kabla mlango wa usajili kufungwa beki mwafrika hatariiii kutoka Borrusia Dortmund raia wa Uswiz mwenye asili ya Nigeria Manuel Obafemi Akanji kutuliza kelele nyingi.


Kwa usajili huu Man City wamepata mlinzi beki moja matata sana. Lakini hata hivyo hatujaridhika tunataka waafrika weusi pure Man city japo Akanji mama yake mzungu angalau tunapata faraja mshua wake ni mmatumbi.

Pep licha ya kipaji chako cha ukocha acha ubaguzi.
Manuel-Akanji-on-the-future-in-Dortmund-Nothing-I-want.jpg
 
Kwani mmelazimishwa kwenda kucheza kwenye timu yake? Sii njaa zao zinawapeleka huko.
Wee unasema pep anabagua waafrica, umesahau kuwa waafrica wanabaguana wenyewe kwa wenyewe ndio itakuwa pep.

Mfano rahisi tuu hapa bongo....timu zinasajili wachezaji wa kigeni kibao wanawabagua wachezaji wazawa.
 
Mwafrika ni mwafrika tu black, nigger mmatumbi. Hao wengine huko juu wanasemaga Geographically we are in Africa but we are not Africans.
Berbers ni Waafrika halisi, Ethiopians ni Waafrika halisi, Mwafrika sii lazima uwe mweusi, hebu waangalie San Bushmans

Hoja yako haina mashiko.

Hata jina Afrika asili yake ni Wayunani wa kale na Warumi 👇

In antiquity the Greeks are said to have called the continent Libya and the Romans to have called it Africa, perhaps from the Latin aprica (“sunny”) or the Greek aphrike (“without cold”).
 
Berbers ni Waafrika halisi Ethiopians ni Waafrika halisi Mwafrika sii lazima uwe mweusi hebu waangalie San Bushmans

Hoja yako haina mashiko.

Hata jina Afrika asili yake ni Wayunani wa kale na Warumi

In antiquity the Greeks are said to have called the continent Libya and the Romans to have called it Africa, perhaps from the Latin aprica (“sunny”) or the Greek aphrike (“without cold”).
Sawa hao Barber Ethiopian wote ni blacks. Lakini Arabs are not Africans
 
Sawa hao Barber Ethiopian wote ni blacks. Lakini Arabs are not Africans
Berbers ni mchanganyiko kuna wengine ni Weupe kabisa sio Blacks Mooritanians ni Waafrika pia.

Waarabu walihamia miaka mingi sana ni Waafrika lakini ni ethnic Arabs, Mathalan Sahrawi,wako maelfu ya miaka au Watuareg, walihamia pale maelfu ya miaka ni Waafrika.
 
Berbers ni mchanganyiko kuna wengine ni Weupe kabisa sio Blacks Mooritanians ni Waafrika pia.

Waarabu walihamia miaka mingi sana ni Waafrika lakini ni ethnic Arabs Mathalan Sahrawi wako maelfu ya miaka au Watourage walihamia pale maelfu ya miaka ni Waafrika.
Kwa definition ya Sasa ndio wanaitwa waarabu, ila watu Wa Morocco, Tunisia, Egpty etc sio waarabu, na wenyewe pia hawapendi kuitwa waarabu.
 
Kwa definition ya Sasa ndio wanaitwa waarabu, ila watu Wa Morocco, Tunisia, Egpty etc sio waarabu, na wenyewe pia hawapendi kuitwa waarabu.
Tena ndio kiboko ya Warumi, Mfalme wao Hannibal aliivamia Rome na kuwatia adabu, Berbers ni majasiri sana Waafriika wenzetu hawa.

Kumbuka Vita vya Frelimo walikuja kuwasaidia ndugu zao Wamsumbiji.
 
Huyu Kocha na meneja wa Manchester city ni mbaguzi Sana kwa wachezaji waafrika. Mtasema Riyad Mahrez muafrika. Ndio katoka Africa Algeria lakini siyo mwafrika.

Guardiola ni Kocha mzuri Sana na anakipaji Cha ukocha Cha aina yake. Tatizo lake ni mbaguzi.

Kawatimua waafrika Fernandinho, Jesus na Sterling kwa maksud tu Ili timu iwe na weupee tupu. Kambakisha Ake huyu dogo wa Uholanzi kwasababu ni mwafrika Koko.

Samuel Etoo na Yahya Toure walishawahi kumlalamikia Sana Pep kwa hii tabia yake ya ubaguzi. Na siyo kina Etoo tu Bali watu wengi.

Kwa aibu akaamua kumsajili dakika za mwisho kabla mlango wa usajili kufungwa beki mwafrika hatariiii kutoka Borrusia Dortmund raia wa Uswiz mwenye asili ya Nigeria Manuel Obafemi Akanji kutuliza kelele nyingi.


Kwa usajili huu Man City wamepata mlinzi beki Moja matata Sana. Lakini hata hivyo hatujaridhika tunataka waafrika weusi pure Man city japo Akanji mama yake mzungu angalau tunapata faraja mshua wake ni mmatumbi.

Pep licha ya kipaji chako Cha ukocha acha ubaguzi.View attachment 2343686
Guardiola ana wachezaji Fulani Fulani anaotumia, ukiwa na hio quality atakutumia.

Usisahau Eric Abidal, Alikuwepo Keita yule wa Mali, Boateng Bayern na wengine wengi kawatumia.
 
Sawa hao Barber Ethiopian wote ni blacks. Lakini Arabs are not Africans
Who is an African?🤣🤣

Ni kweli waarabu na watu wa Afrka magharibi mzungu mwenyewe anawaita watu wa ulaya ya pili(second part of Europe) sio waafrika hawa.

Mwafrika wanadai anapatikana kusini mwa jangwa la sahara(dark continent)🤣🤣
 
Kamfukuza Jesus ? Jesus ni mwafrika ?

Kamfukuza sterling ,unahakika kweli wewe Mbwa kuwa sterling kafukuzwa ? Hivi sterling ni mwafrika ? ,Hata Kama ni rangi ,unamjua mbete ,huyu Ni CB amaetoka academy mbona hajabaguliwa ? Kuna josh Wilson huyu ni CB mwingine na yupo kwenye kikosi Cha city ni black mbona hajabaguliwa ,hivi wewe Mbwa unaijua man city kweli ? Unafikili akanji ni mchezaji pekee yake mweusi koloo wewe makalio meusi Kama Tako la bunduki....

Vip zincheko mbona hujasema kafukuzwa au kauzwa ? Mbona unakuwa Kama makalio wewe kenge ,inamaana pep Kila analofanya anabagua wachezaji ,mbona hajawahi kumbagua Mendy ?

Wewe ni mjinga na hufuatiliii mpira ,ni mtu wa kupuuzwa tu hujielewi .....

Achana na pep wewe ,fanya Mambo mengine mbwa Koko wewe ,hujui lolote kuhusu mpira ....
 
Back
Top Bottom