Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili huna ungekuwa kocha ungeshafukuzwaHuyu Kocha na Meneja wa Manchester city ni mbaguzi sana kwa wachezaji waafrika. Mtasema Riyad Mahrez muafrika ndiyo katoka Africa Algeria lakini siyo mwafrika.
Guardiola ni Kocha mzuri sana na anakipaji cha ukocha cha aina yake. Tatizo lake ni mbaguzi.
Kawatimua waafrika Fernandinho, Jesus na Sterling kwa makusud tu Ili timu iwe na weupe tupu. Kambakisha Ake huyu dogo wa Uholanzi kwasababu ni mwafrika koko.
Samuel Etoo na Yahya Toure walishawahi kumlalamikia sana Pep kwa hii tabia yake ya ubaguzi. Na siyo kina Etoo tu bali watu wengi.
Kwa aibu akaamua kumsajili dakika za mwisho kabla mlango wa usajili kufungwa beki mwafrika hatariiii kutoka Borrusia Dortmund raia wa Uswiz mwenye asili ya Nigeria Manuel Obafemi Akanji kutuliza kelele nyingi.
Kwa usajili huu Man City wamepata mlinzi beki moja matata sana. Lakini hata hivyo hatujaridhika tunataka waafrika weusi pure Man city japo Akanji mama yake mzungu angalau tunapata faraja mshua wake ni mmatumbi.
Pep licha ya kipaji chako cha ukocha acha ubaguzi.View attachment 2343686
Badirisha ukoo wako kwanzaAcha kumtetea Pep. Lazima abadilike.
Uongo na utapeliBerbers ni Waafrika halisi Ethiopians ni Waafrika halisi Mwafrika sii lazima uwe mweusi hebu waangalie San Bushmans
Hoja yako haina mashiko.
Hata jina Afrika asili yake ni Wayunani wa kale na Warumi [emoji116]
In antiquity the Greeks are said to have called the continent Libya and the Romans to have called it Africa, perhaps from the Latin aprica (“sunny”) or the Greek aphrike (“without cold”).
Ukimtoa muhindi hakuna watu wabaguzi na wajinga wenye chuki kutuzidi waafrika hasa chini ya jangwa la saharaWaafrika ni wabaguzi kuliko wazungu
Hebu tupe ukweli great thinker.Uongo na utapeli
Benjamin MendyGuardiola ana wachezaji Fulani Fulani anaotumia, ukiwa na hio quality atakutumia.
Usisahau Eric Abidal, Alikuwepo Keita yule wa Mali, Boateng Bayern na wengine wengi kawatumia.
Hao akina zinchenko wanaondoka kwa hiari kwasababu ni mizungu.Kamfukuza Jesus ? Jesus ni mwafrika ?
Kamfukuza sterling ,unahakika kweli wewe Mbwa kuwa sterling kafukuzwa ? Hivi sterling ni mwafrika ? ,Hata Kama ni rangi ,unamjua mbete ,huyu Ni CB amaetoka academy mbona hajabaguliwa ? Kuna josh Wilson huyu ni CB mwingine na yupo kwenye kikosi Cha city ni black mbona hajabaguliwa ,hivi wewe Mbwa unaijua man city kweli ? Unafikili akanji ni mchezaji pekee yake mweusi koloo wewe makalio meusi Kama Tako la bunduki....
Vip zincheko mbona hujasema kafukuzwa au kauzwa ? Mbona unakuwa Kama makalio wewe kenge ,inamaana pep Kila analofanya anabagua wachezaji ,mbona hajawahi kumbagua Mendy ?
Wewe ni mjinga na hufuatiliii mpira ,ni mtu wa kupuuzwa tu hujielewi .....
Achana na pep wewe ,fanya Mambo mengine mbwa Koko wewe ,hujui lolote kuhusu mpira ....
Kyle walker anaanza kila mechi yule ni mzungu?Hao akina zinchenko wanaondoka kwa hiari kwasababu ni mizungu.
Ni mwafrika Koko mshua wake ni mmatumbi wa Jamaica mama yake mzungu muingereza. Tunataka pure manniger kama Mendy na Sterling.Kyle walker anaanza kila mechi yule ni mzungu?
Binadamu anapenda kukaa pazuri tu au kwenye mafanikio 😄 mbona husemi ubaguzi norwich city au burnely walioshuka darajaNi mwafrika Koko mshua wake ni mmatumbi wa Jamaica mama yake mzungu muingereza. Tunataka pure manniger kama Mendy na Sterling.
Pep aache ubaguz
Mkuu hivi Norwich city na burnely kulikuwa hamna wachezaji wamatumbi kweli?Binadamu anapenda kukaa pazuri tu au kwenye mafanikio 😄 mbona husemi ubaguzi norwich city au burnely walioshuka daraja
Idadi ni kawaida tu kama man city ila kwakuwa hawako kwenye ubora hutawaongelea na huo ni mfano tuMkuu hivi Norwich city na burnely kulikuwa hamna wachezaji wamatumbi kweli?
Huko sawa mkuuIdadi ni kawaida tu kama man city ila kwakuwa hawako kwenye ubora hutawaongelea na huo ni mfano tu
Et, kamfukuza Jesus!! [emoji1787][emoji1787]