Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata huyo nathan ake amekalia kuti kavu.Et, kamfukuza Jesus!! [emoji1787][emoji1787]
mwanangu pep ajui kiswahiliHuyu Kocha na Meneja wa Manchester city ni mbaguzi sana kwa wachezaji waafrika. Mtasema Riyad Mahrez muafrika ndiyo katoka Africa Algeria lakini siyo mwafrika.
Guardiola ni Kocha mzuri sana na anakipaji cha ukocha cha aina yake. Tatizo lake ni mbaguzi.
Kawatimua waafrika Fernandinho, Jesus na Sterling kwa makusud tu Ili timu iwe na weupe tupu. Kambakisha Ake huyu dogo wa Uholanzi kwasababu ni mwafrika koko.
Samuel Etoo na Yahya Toure walishawahi kumlalamikia sana Pep kwa hii tabia yake ya ubaguzi. Na siyo kina Etoo tu bali watu wengi.
Kwa aibu akaamua kumsajili dakika za mwisho kabla mlango wa usajili kufungwa beki mwafrika hatariiii kutoka Borrusia Dortmund raia wa Uswiz mwenye asili ya Nigeria Manuel Obafemi Akanji kutuliza kelele nyingi.
Kwa usajili huu Man City wamepata mlinzi beki moja matata sana. Lakini hata hivyo hatujaridhika tunataka waafrika weusi pure Man city japo Akanji mama yake mzungu angalau tunapata faraja mshua wake ni mmatumbi.
Pep licha ya kipaji chako cha ukocha acha ubaguzi.View attachment 2343686