Guardiola alimsajili Akanji dakika za mwisho kuficha aibu ya ubaguzi wa rangi

Akili huna ungekuwa kocha ungeshafukuzwa

Frenandinho miaka 35 ana msaada gani kwenye team?

Steering anavyokosa magori ungembakiza?


Sana aliuzwa akiwa kwenye peak , Guadiora haabudu mchezaji kama unaondoka ondoka tu.
 
Uongo na utapeli
 
Hao akina zinchenko wanaondoka kwa hiari kwasababu ni mizungu.
 
 
Binadamu anapenda kukaa pazuri tu au kwenye mafanikio πŸ˜„ mbona husemi ubaguzi norwich city au burnely walioshuka daraja
Mkuu hivi Norwich city na burnely kulikuwa hamna wachezaji wamatumbi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…