Guardiola ameiumbua E.P.L

KLOPP vs GURDIOLA

• Wamekutana Mara 12

• Klopp Kashinda 6

• Katoka sare 1

• Kafungwa 5

√ Gurdiola Kashinda 5

√ Katoka Sare 1

√ Kafungwa 6

Kwahiyo Mpaka Sasa Klopp Ni Kiboko Ya Gurdiola.

Katika Mara Zote Walizokutana Gurdiola alikuwa Kocha Wa BAYERN na MAN CITY...
Wakati Klopp ni Kocha Wa DORTMUND na LIVERPOOL...

Kwahiyo Gurdiola Huwa anatimu Yenye Wachezaji bora Zaidi Ukimlinganisha na Klopp lakini Still Huwa Hafurukuti.

Sasa sijui ingelikuaje Kuwa Klopp ndiyo angelikuwa Kocha Wa Bayern & City halafu Gurdiola akawa Kocha Wa Dortmund na Liverpool! Nadhani Gurdiola aainge ambulia Hata sare.

NADHANI GURDIOLA KATIKA KOCHA AMBAYE HATAMSAHAU MAISHANI MWAKE BASI NI KLOPP.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…