Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Unafikir city ni ka kitimu chako [emoji12] [emoji12]Hata Cystal Palace akikaza sana anaweza kumfunga Man City
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikir city ni ka kitimu chako [emoji12] [emoji12]Hata Cystal Palace akikaza sana anaweza kumfunga Man City
Mapema mno.Nadhani watu wengi tunakumbuka ile Barcelona ya 2009-2012 ambayo kwa wengi ni timu bora kabisa katika kizazi hiki cha soka, kuanzia ugawaji wa vipigo,kandanda safi na uwezo binafsi wa wachezaji.
Wakati Guardiola akiiongoza Barcelona kugawa vichapo vya hatari hadi kumtetemesha mzee wetu Ferguson kwenye fainali ya Uefa 2011 wengi walikuwa wanammbeza kwa kusema anacheza ligi ya timu 2, ooh mara kabebwa na messi, wengine wakasema ana bahati.
Guardiola akaondoka zake kwenda Bundesliga, huko nako akagawa vichapo vya kutosha, ila wadau wa England wakaendelea kumponda kuwa anaiogopa England maana sio size yake [emoji23](wakajisahaulisha kilichokuwa kinazikumba timu za England zilipokutana na Barcelona).
Haya sasa , mara Guardiola akaja hapo England, ni kweli msimu wa kwanza hakufanya vizuri ila wadau wa England wakatamba sana eti alidhani yupo la liga au ligi nyingine nyepesi, hii ndio England bwana, timu zote kali!!!!
Msimu wake wa pili, akaanza kwa kasi ndogo, wakaongea sana,alipoanza kugawa vichapo wakasema ngoja tumuone, hawezi fika mbali hii ndio England, mara kashinda game 10 mfululizo, akashinda nyingine 5(still counting), humo kagawa vichapo na kuupiga mpira mwingi mno ikiwemo nyumbani kwa timu vigogo kama Man untd na chelsea.
Sasa hivi England ni ligi ya timu moja tuu, Man city imegeuka kama msalaba wa jumuiya ambao unapita kila nyumba, Guardiola hajawahi kuwa na timu iliyokusanya pointi nyingi hivi ndani ya mechi 16 za kwanza, cha kushangaza huku ambapo Guardiola anajipigia tuu watu ndio tunaambiwa ni ligi ngumu lakini kule ambapo alikuwa na timu ya Dunia alikuwa hashindi hivi tunaambiwa ile ligi ni mbovu/rahisi.!!
Kinachotokea sahizi si kingine bali ni E.P.L kuumbuka, tayari Pep amejipigia vigogo wote wa E.P.L wengine kwa aibu ya goli 5....,tungojee mwisho wa msimu tuone mambo yatakuwaje ila without doubt Man city watanyanyua makwapa
Hakuna kisicho na mwisho kama unabisha basiUnafikir city ni ka kitimu chako [emoji12] [emoji12]
Siyo kweli!!.... Hajakutana na Big sam akiwa na timu,Hajakutana na Allan Pardew Akiwa na Timu....nnachotaka kukwambia ni hivi kwa England bado Usimuhesabie kama ni bingwa huyo Ligi bado sana hiyoKubali tu na kumpa Heshima yake Pep. Jamaa yuko vizuri,anajua anachokifanya.
Kama siyo kocha bora huwez kuwa na mafanikio. Cha msingi anajua kutumia pesa kununua wachezaji watakao msaidia. Timu zingine kubwa kama Chelsea,Man U nazo zinatumia pesa nyingi tu. Badala ya kucheza mpira wa kufunguka,wa kufurahisha,unapaki basi na mambo mengine. Pep ni zaidi ya kocha!
Yawezekana,lakini jamaa anajua,tukiondoa mambo mengineSiyo kweli!!.... Hajakutana na Big sam akiwa na timu,Hajakutana na Allan Pardew Akiwa na Timu....nnachotaka kukwambia ni hivi kwa England bado Usimuhesabie kama ni bingwa huyo Ligi bado sana hiyo
Mzunguko wa pili utakuwa mgumu, zile bahati za wachezaji wa timu pinzani kuonyeshwa red cards, wacheji muhim kutokuwepo na magoli ya offsides hayatajirudiaWalisema Hajakutana na timu kubwa.
Sasaivi ngoja mzunguko wa pili
kwenye mzunguko wa pili sio timu kubwa itamfunga, namaanisha ( Man u, Chelsea, Liverpool, Arsenal ) na hawa ndio wapiga kelele.
Mashabiki wa Man U , Eti Man City kamfunga Man U kwa bahati. Mahaba niue au ulikua unaangalia Live Score au umesimuliwa kijiweni. Tusibishane sana ingia You tube tu utaona jinsi Man City walivotakata hasa second half tena alivoingia Cadabra ni zaidi na mwishoni man u ailikua anakufa kuanzia goli 2 maana walitengea clear chances nyingi na walikua wanajiamini mno. Bahati analikua nayo Man U kufungwa goli chache. Usiwe na mapenzi ya ajabu. Na kama unabisha hili nitafute tuwekeane uone jinsi Man United atakavopigwa magoli mengi mzunguko wa pili dhidi ya Man City.Wewe unamatatizo wewe, Hujui kuwa Pep anashinda kwa bahati tu ? alimfunga Man U kwa bahati tu, amemfunga Swansea leo kwa bahati tu 4-0, ila mpira upo man U, kashinda Goli moja tu leo na Bounemouth, kachukua point tatu kashinda 1-0 , yeye hajashinda kwa bahati bali hua anapiga mpira.
Kwa ujumla Top 4 ya EPL inampira mzuri sana tatizo ni pale wanapoamua ku pack Bus,
Sasa ndugu yangu unataka kocha awe na kikosi chepesi jmnKwakuwa umeandika kishabiki zaidi na mahaba mazito kwa La liga, naomba nikukumbushe kuwa kuna mzunguko wa pili bado haujaanza, kumbuka msimu uliopita.
Kuhusu ubora wa Guardiola, kwangu mimi ni mtu anayetembelea michoro ya wenzake na kutegemea pesa zaidi. Timu zote alikutwa zimesukwa vyema, ni kama Vicente Del Bosque alipopewa Spain akatwaa ndoo kubwa, kazi yake kubwa ilikuwa nini?
Kipindi icho man u ilikua inafifia bna usiiringanishe na city hii ambayo ukicheza nayo ww kazi yako ni kupunguza idadi ya magoal tunakumbuka msimu wa 2011/12 Man U walikuwa mbele kwa point 8 kumzidi Man City huku zikiwa zimebaki mechi 6 tu ligi kwisha.
badala yake ni Man City ndiye aliyebeba ndoo ya EPL.
sasa hivi Man City wapo mbele pointi 11 na mechi zimebaki zaidi ya 20.
wacha EPL iitwe EPL!