choupa moting
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,508
- 2,563
[emoji3][emoji3][emoji3]mkuu hata sijui umendika nin, aliyeshinda 4 ni bahat alaf aliyeshinda 1 ndo anajua [emoji15] [emoji15]! Au sijakuelewa nn!!!!
Mkuu unamaanisha refa mwaka huu ni mmoja au marefa wote wako Mancity msimu huu???Naona wengine anawapiga kwa woga wao tu, timu sio kiwango viile, wanacheza mpira wa kawaida, wanadive na wakati mwingine wanatembelea nyota ya refa
Ok endelea kulalaMapema mno.
Ungekuwa mwanamke ungeongoza kwa talaka maana una wivu kuliko pundaMleta hana kumbukumbu vizuri ya mpira wa ulaya. Huyo guardiola alikula kichapo KWA Chelsea drodga akitupia, kule KWAo tulitoka mbili mbili, Chelsea tuichukua ndoo ya ulaya, huyo guardiola yupo. Hata msimu uliopita, sisi Chelsea jiwe la uingereza tulimgonga nje ndani, tena pale KWAo alikula tatu moja, tena walianza kutufunga sisi, hii timu imetumia FEDHA nyingi kusajiri wachezaji wazuri tu
Ilikua inafifia msimu uliofata ndo iliseleleka chini sasailikuwa inafifia? msimu uliofuata ilibeba ndoo!
Anayemaliza Krismasi akiwa pale juu ndio BingwaNgoja mzunguko wa pili uanze
Sasa hivi EPL imekuwa ligi ya timu mojaWaambie bana maana kila siku hooo epl ina ushindan sio kama laliga ya timu mbili kumbe hawakujua kwamba hizo timu hata zingekuj epl zingeendelea kutesa, mfano Mancity mwenye kiwango kama cha Barcelona kwa sasa anawaonesha
Ikifika new year bado City wapo mbele kwa points 11, ndo itakuwa imetoka hiyo. Mzunguko wa pili hata ukianza, kisaikolojia hawa wengine watakuwa wameshachoka. Ofcourse City watadrop points mbele ya safari ila ndoo wanaibebaNgoja mzunguko wa pili uanze
Hata hizo timu nyingine zingefanya Usajili ghali zaidi zingelambwa tuSasa na usajili ghali hivyo Kuna kipi cha ajabu
Go citizens goNadhani watu wengi tunakumbuka ile Barcelona ya 2009-2012 ambayo kwa wengi ni timu bora kabisa katika kizazi hiki cha soka, kuanzia ugawaji wa vipigo,kandanda safi na uwezo binafsi wa wachezaji.
Wakati Guardiola akiiongoza Barcelona kugawa vichapo vya hatari hadi kumtetemesha mzee wetu Ferguson kwenye fainali ya Uefa 2011 wengi walikuwa wanammbeza kwa kusema anacheza ligi ya timu 2, ooh mara kabebwa na messi, wengine wakasema ana bahati.
Guardiola akaondoka zake kwenda Bundesliga, huko nako akagawa vichapo vya kutosha, ila wadau wa England wakaendelea kumponda kuwa anaiogopa England maana sio size yake [emoji23](wakajisahaulisha kilichokuwa kinazikumba timu za England zilipokutana na Barcelona).
Haya sasa , mara Guardiola akaja hapo England, ni kweli msimu wa kwanza hakufanya vizuri ila wadau wa England wakatamba sana eti alidhani yupo la liga au ligi nyingine nyepesi, hii ndio England bwana, timu zote kali!!!!
Msimu wake wa pili, akaanza kwa kasi ndogo, wakaongea sana,alipoanza kugawa vichapo wakasema ngoja tumuone, hawezi fika mbali hii ndio England, mara kashinda game 10 mfululizo, akashinda nyingine 5(still counting), humo kagawa vichapo na kuupiga mpira mwingi mno ikiwemo nyumbani kwa timu vigogo kama Man untd na chelsea.
Sasa hivi England ni ligi ya timu moja tuu, Man city imegeuka kama msalaba wa jumuiya ambao unapita kila nyumba, Guardiola hajawahi kuwa na timu iliyokusanya pointi nyingi hivi ndani ya mechi 16 za kwanza, cha kushangaza huku ambapo Guardiola anajipigia tuu watu ndio tunaambiwa ni ligi ngumu lakini kule ambapo alikuwa na timu ya Dunia alikuwa hashindi hivi tunaambiwa ile ligi ni mbovu/rahisi.!!
Kinachotokea sahizi si kingine bali ni E.P.L kuumbuka, tayari Pep amejipigia vigogo wote wa E.P.L wengine kwa aibu ya goli 5....,tungojee mwisho wa msimu tuone mambo yatakuwaje ila without doubt Man city watanyanyua makwapa
Kawaacha wenzake kwa point nyingi sijui timu gani itamzuiaLiga haijaisha lakini, kumbuka hili. Uwe na akiba ya maneno.
Nadhani watu wengi tunakumbuka ile Barcelona ya 2009-2012 ambayo kwa wengi ni timu bora kabisa katika kizazi hiki cha soka, kuanzia ugawaji wa vipigo,kandanda safi na uwezo binafsi wa wachezaji.
Wakati Guardiola akiiongoza Barcelona kugawa vichapo vya hatari hadi kumtetemesha mzee wetu Ferguson kwenye fainali ya Uefa 2011 wengi walikuwa wanammbeza kwa kusema anacheza ligi ya timu 2, ooh mara kabebwa na messi, wengine wakasema ana bahati.
Guardiola akaondoka zake kwenda Bundesliga, huko nako akagawa vichapo vya kutosha, ila wadau wa England wakaendelea kumponda kuwa anaiogopa England maana sio size yake [emoji23](wakajisahaulisha kilichokuwa kinazikumba timu za England zilipokutana na Barcelona).
Haya sasa , mara Guardiola akaja hapo England, ni kweli msimu wa kwanza hakufanya vizuri ila wadau wa England wakatamba sana eti alidhani yupo la liga au ligi nyingine nyepesi, hii ndio England bwana, timu zote kali!!!!
Msimu wake wa pili, akaanza kwa kasi ndogo, wakaongea sana,alipoanza kugawa vichapo wakasema ngoja tumuone, hawezi fika mbali hii ndio England, mara kashinda game 10 mfululizo, akashinda nyingine 5(still counting), humo kagawa vichapo na kuupiga mpira mwingi mno ikiwemo nyumbani kwa timu vigogo kama Man untd na chelsea.
Sasa hivi England ni ligi ya timu moja tuu, Man city imegeuka kama msalaba wa jumuiya ambao unapita kila nyumba, Guardiola hajawahi kuwa na timu iliyokusanya pointi nyingi hivi ndani ya mechi 16 za kwanza, cha kushangaza huku ambapo Guardiola anajipigia tuu watu ndio tunaambiwa ni ligi ngumu lakini kule ambapo alikuwa na timu ya Dunia alikuwa hashindi hivi tunaambiwa ile ligi ni mbovu/rahisi.!!
Kinachotokea sahizi si kingine bali ni E.P.L kuumbuka, tayari Pep amejipigia vigogo wote wa E.P.L wengine kwa aibu ya goli 5....,tungojee mwisho wa msimu tuone mambo yatakuwaje ila without doubt Man city watanyanyua makwapa
Uzuri mmoja EPL hutambi mara mbili, subiri mwakani uone.Nadhani watu wengi tunakumbuka ile Barcelona ya 2009-2012 ambayo kwa wengi ni timu bora kabisa katika kizazi hiki cha soka, kuanzia ugawaji wa vipigo,kandanda safi na uwezo binafsi wa wachezaji.
Wakati Guardiola akiiongoza Barcelona kugawa vichapo vya hatari hadi kumtetemesha mzee wetu Ferguson kwenye fainali ya Uefa 2011 wengi walikuwa wanammbeza kwa kusema anacheza ligi ya timu 2, ooh mara kabebwa na messi, wengine wakasema ana bahati.
Guardiola akaondoka zake kwenda Bundesliga, huko nako akagawa vichapo vya kutosha, ila wadau wa England wakaendelea kumponda kuwa anaiogopa England maana sio size yake [emoji23](wakajisahaulisha kilichokuwa kinazikumba timu za England zilipokutana na Barcelona).
Haya sasa , mara Guardiola akaja hapo England, ni kweli msimu wa kwanza hakufanya vizuri ila wadau wa England wakatamba sana eti alidhani yupo la liga au ligi nyingine nyepesi, hii ndio England bwana, timu zote kali!!!!
Msimu wake wa pili, akaanza kwa kasi ndogo, wakaongea sana,alipoanza kugawa vichapo wakasema ngoja tumuone, hawezi fika mbali hii ndio England, mara kashinda game 10 mfululizo, akashinda nyingine 5(still counting), humo kagawa vichapo na kuupiga mpira mwingi mno ikiwemo nyumbani kwa timu vigogo kama Man untd na chelsea.
Sasa hivi England ni ligi ya timu moja tuu, Man city imegeuka kama msalaba wa jumuiya ambao unapita kila nyumba, Guardiola hajawahi kuwa na timu iliyokusanya pointi nyingi hivi ndani ya mechi 16 za kwanza, cha kushangaza huku ambapo Guardiola anajipigia tuu watu ndio tunaambiwa ni ligi ngumu lakini kule ambapo alikuwa na timu ya Dunia alikuwa hashindi hivi tunaambiwa ile ligi ni mbovu/rahisi.!!
Kinachotokea sahizi si kingine bali ni E.P.L kuumbuka, tayari Pep amejipigia vigogo wote wa E.P.L wengine kwa aibu ya goli 5....,tungojee mwisho wa msimu tuone mambo yatakuwaje ila without doubt Man city watanyanyua makwapa
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Man U ameshaanza kupungukiwa nguvu Za kiume,naona anapiga bao Moja tu
11 points siyo nyingi ukichukulia kwamba ligi hata halfway haijafika! Yes, Shitty are in the best form right now, but a lot can happen, to other teams as well.Kawaacha wenzake kwa point nyingi sijui timu gani itamzuia