mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Bado sana! Si ajabu akaishia kunawa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pep ameshajipigia huyo Mourinho na ferguson vichapo vya aibu..
MOU amewahi kula 5 na vichapo vingine vingi, huyo ferguson kapigwa fainali 2 za Uefa, ikiwemo ya 2011 aliyoishia kutetemeka ..
Hakuna jipya... huyo wenger ndio hata usiseme, kapigwa mno na Guardiola...
Kwakuwa umeandika kishabiki zaidi na mahaba mazito kwa La liga, naomba nikukumbushe kuwa kuna mzunguko wa pili bado haujaanza, kumbuka msimu uliopita.
Kuhusu ubora wa Guardiola, kwangu mimi ni mtu anayetembelea michoro ya wenzake na kutegemea pesa zaidi. Timu zote alikutwa zimesukwa vyema, ni kama Vicente Del Bosque alipopewa Spain akatwaa ndoo kubwa, kazi yake kubwa ilikuwa nini?
Mbona msimu uliopita kaambulia mchanga tuu...?kweli kawaumbua epl na vilevile kapata kujiwekea rekodi hapohapo epl....
huyu jamaa hajawahi kwenda kwenye ligi ngeni kwake na kumaliza msimu bila ubingwa au kombe lolote ila kwa epl sasa.........mamaeeeee
UEFA kisha kula kichapo bhanaaaKi ukweli Pep anajua hilo halipingiki. Ila napata kigugumizi kuamini kwamba anaweza kumaliza ligi hajapoteza hata game moja.
UEFA, EPL, Carabao, FA
Hata wachezaji wenyewe siyo vyuma wale watachoka. Hizo rekodi ziliwekwa kitambo si kwa sasa na EPL hii. Kuhusu ubingwa ana asilimia kubwa mpk sasa lakini mechi bado ni nyingi mno. Time Will Tell
Kwa kweli Guardiola anajipigia tu, kaiumbua vibaya EPL. Pep toka ligi ya timu mbili ya la liga mpaka ligi ya timu moja epl.Nadhani watu wengi tunakumbuka ile Barcelona ya 2009-2012 ambayo kwa wengi ni timu bora kabisa katika kizazi hiki cha soka, kuanzia ugawaji wa vipigo,kandanda safi na uwezo binafsi wa wachezaji.
Wakati Guardiola akiiongoza Barcelona kugawa vichapo vya hatari hadi kumtetemesha mzee wetu Ferguson kwenye fainali ya Uefa 2011 wengi walikuwa wanammbeza kwa kusema anacheza ligi ya timu 2, ooh mara kabebwa na messi, wengine wakasema ana bahati.
Guardiola akaondoka zake kwenda Bundesliga, huko nako akagawa vichapo vya kutosha, ila wadau wa England wakaendelea kumponda kuwa anaiogopa England maana sio size yake [emoji23](wakajisahaulisha kilichokuwa kinazikumba timu za England zilipokutana na Barcelona).
Haya sasa , mara Guardiola akaja hapo England, ni kweli msimu wa kwanza hakufanya vizuri ila wadau wa England wakatamba sana eti alidhani yupo la liga au ligi nyingine nyepesi, hii ndio England bwana, timu zote kali!!!!
Msimu wake wa pili, akaanza kwa kasi ndogo, wakaongea sana,alipoanza kugawa vichapo wakasema ngoja tumuone, hawezi fika mbali hii ndio England, mara kashinda game 10 mfululizo, akashinda nyingine 5(still counting), humo kagawa vichapo na kuupiga mpira mwingi mno ikiwemo nyumbani kwa timu vigogo kama Man untd na chelsea.
Sasa hivi England ni ligi ya timu moja tuu, Man city imegeuka kama msalaba wa jumuiya ambao unapita kila nyumba, Guardiola hajawahi kuwa na timu iliyokusanya pointi nyingi hivi ndani ya mechi 16 za kwanza, cha kushangaza huku ambapo Guardiola anajipigia tuu watu ndio tunaambiwa ni ligi ngumu lakini kule ambapo alikuwa na timu ya Dunia alikuwa hashindi hivi tunaambiwa ile ligi ni mbovu/rahisi.!!
Kinachotokea sahizi si kingine bali ni E.P.L kuumbuka, tayari Pep amejipigia vigogo wote wa E.P.L wengine kwa aibu ya goli 5....,tungojee mwisho wa msimu tuone mambo yatakuwaje ila without doubt Man city watanyanyua makwapa
Na baada msimu kuisha ikawaje...?Wakati anawasili England, Pep aliulizwa nini kigumu kwako kwa hapa Uingereza alijibu kwa kejeli kwamba ni kuendesha gari left hand tu basi vingne havimpi shida.
Kichapo useless, alikuwa ameshapita tena nafasi ya kwanza.UEFA kisha kula kichapo bhanaaa
Force your LUCK, ndio Mancity na timu kubwa hufanya kupata matokeo.Still ujamalizia post yko jinc man city alivyobebwa dk za nyongeza zinaisha lkn bado gurudumu linaendelezwa
Force your LUCK, ndio Mancity na timu kubwa hufanya kupata matokeo.Still ujamalizia post yko jinc man city alivyobebwa dk za nyongeza zinaisha lkn bado gurudumu linaendelezwa
Tena wengi watamfuata Etihad.Walisema Hajakutana na timu kubwa.
Sasaivi ngoja mzunguko wa pili
kwenye mzunguko wa pili sio timu kubwa itamfunga, namaanisha ( Man u, Chelsea, Liverpool, Arsenal ) na hawa ndio wapiga kelele.
Hiyo sio sababu...!![emoji23]Kichapo useless, alikuwa ameshapita tena nafasi ya kwanza.