Guardiola ameiumbua E.P.L


Hujanielewa
 
Bado mapema mno embu subiri msimu uishe ili udhibitishe hilo
 

kwani city hawakua na fedha kabla ya kuja Guardiola? mbona hawakufanya kama hivi?
Na kwani Man utd hawana fedha? tizama kiwango cha fedha cha usajili wa man utd under Morinho mbona anasuasua?
 
Mapema sana

EPL ukiteleza tu game 3 wadau wanaanza kukunusa kalioni.

Tusubir mzunguko wa 2.

Atakapokutana na mtiti wa timu zlizo kwny hati hati ya relegation.
 
Uitaji kuwa na degree kutambua kuwa mbio za kuwania kikombe cha epl zimeisha. Mpaka hapo United, na Chelsea wanaishi kwa matumaini. Wanasubiria city ateleze wao wavute kasi. Kumbe na wao nao wanaweza kuteleza.

Nawaambia hivi vitimu aina ya everton, New castle, Bunley and alike kwa city wanaenda kukaza kupunguza idadi ya magoli. Ila kipigo kipo.

Weekend hii ni zamu ya Spurs kunyolewa
 
kweli kawaumbua epl na vilevile kapata kujiwekea rekodi hapohapo epl....
huyu jamaa hajawahi kwenda kwenye ligi ngeni kwake na kumaliza msimu bila ubingwa au kombe lolote ila kwa epl sasa.........mamaeeeee
Mbona msimu uliopita kaambulia mchanga tuu...?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
UEFA kisha kula kichapo bhanaaa
 
Still ujamalizia post yko jinc man city alivyobebwa dk za nyongeza zinaisha lkn bado gurudumu linaendelezwa
 
Kwa kweli Guardiola anajipigia tu, kaiumbua vibaya EPL. Pep toka ligi ya timu mbili ya la liga mpaka ligi ya timu moja epl.
Wengine tulishasemaga EPL ni kinyesi kwa la liga, yaani la liga inaiacha epl kwa umbali wa nchi mzima ya Tz.
Afadhari ligi ya timu mbili kuliko ligibya timu moja, EPL inaboa. Timu kubwa za Epl ukitoa Mancity eti By chrismas tayari zinagombea nafasi ya pili.
Guardiola ni the best manager in the world na la liga ni tje best league in the world.
 
Walisema Hajakutana na timu kubwa.
Sasaivi ngoja mzunguko wa pili
kwenye mzunguko wa pili sio timu kubwa itamfunga, namaanisha ( Man u, Chelsea, Liverpool, Arsenal ) na hawa ndio wapiga kelele.
Tena wengi watamfuata Etihad.
 
Huyo Guadiora dawa yake ni Westham, West Brom, na Manchester United... Tutampigia pale pale Kwake ngoja January ligi ichanganye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…