Guardiola ameiumbua E.P.L

point 11 bado mechi zaidi ya 20 epl ni utani kwa man city kuchukua,hii sio la liga wala ligi ya ujeruman
 
Huyu Gadiola akipewa Taifa stars ubingwa wa dunia tunachukua kabla ya saa nne asubuhi
 


Si kweli kama ameiumbua EPL, isipokuwa timu zote zinazoshindana na City haziko consistent enough. Ni kama vile mwaka jana wakati Chelsea walivyoshinda ubingwa, kila timu ilionekana vibonde hata City yenyewe ilikuwa haieleweki kipindi hicho.
 
Man City na Guardiola kiukweli ni wazuri, lakini hawajakumbana majeruhi. Sasa subirini De Bruyne na D. Silva wapate majeraha ndo utajua EPL ni sawa n La Liga au Bundesliga? Tusubiri, time will tell us.
wkt huo team zingine hawaumii wanaumia Man City tu?
 

Mkuu livescore huwa inakuweka update na magoli yanayofungwa tu, na kama niliangalia livescore ningejuaje man u kafungwa kibahati? Livescore nimeona possession, nimeona Goals on target sorry shorts on target, nimeona muelemewa sijui kwa kiinglish mnaita ball possession. sasa wewe unasema man u hajafungwa kibahati wakati alielemea kila mahali ambapo Paulo angelicheza asingeelemewa hivyo?

kingine mimi nabisha huo usemi wako : eti kama ninabisha man u kufungwa goli nyingi mzunguko wa pili..... nabisha kabisa maana tarehe 7 April Man U you atakuwa anapigania nafasi ya kuingia nne bora. kwahiyo atacheza sana ili asifungwe goli nyingi, atafungwa kibahati goli hizi hizi. 2-0. au wewe unabisha?
 
[emoji106] sina mengi mkuu..
 

Hata msimu uliopita, sisi Chelsea jiwe la uingereza tulimgonga nje ndani, umeshaona babu akimpa story mjukuu wake?

sawa kabisa hujakosea mlikuwa vizuri na hakuna aliebisha, sasa safari hii ni yetu na ndo maana msimu huu tumewapa kipigo. na city hajapiga kelele kumfunga Chelsea maana timu zote zilicheza mpira vizuri, hapa tunacholalamika ni man u kufungwa mechi ya juzi na man city halafu hakucheza lolote ila anajigamba eti alifungwa kibahati.
Kipindi kile Chelsea alitufunga maana walicheza vizuri na walituzidi mpira na tukafungwa, na sio Chelsea pekee bali hata hotspur alitufunga kiufupi tulicheza kizembe na wenzetu walituzidi na tukafungwa, Swaji je kipindi kichi je? kwanini hamtusifii tunapowafunga?
 
Still ujamalizia post yko jinc man city alivyobebwa dk za nyongeza zinaisha lkn bado gurudumu linaendelezwa
Ni kweli kabisa, Mancity alikuwa ana goli 2 na man U alikuwa na 1, mpira ulikuwa uishe dakika ya 94. lakini uliisha dakika ya 95, maana yake ili man u asawazishe ila alishindwa? kwahiyo man u alikuwa anabebwa?
 
Guardiola ataendelea kuwatembezea mstari boko mpaka akili ziwakae sawa, bahati nzuri yeye huwa hachongi kama Morinho. Anawafumua kimya kimya tu
 
Ukisema hutambi mara 2... unasahau Man untd ile ya kina Cr7 ilishachukua ubingwa mara 3 mfululizo
Hiyo ya Man u ni historia, tangu 2009 hakuna timu iliyoweza kutetea ubingwa wake EPL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…